Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Itakuwa poaa na mm leo nashinda kwetu hapaBado nazikusanya mkuu, leo ndio naona nipo free
Itakuwa poaa na mm leo nashinda kwetu hapaBado nazikusanya mkuu, leo ndio naona nipo free
Apumzike kwenye uhuruNamba 01 ..
Mke wa Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Dipolelo Thabane ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulika muda mfup baada ya mume wk kutambulishwa ... 😕 😕 😕 😕![]()
Kabisa kabisaLakini salama
Nimeombaaa wa kwanzaaa aiseeeh tusiingilianeeMialiko imeshaanza ya kufuturu
AmeeenApumzike kwenye uhuru
Tumeamka salama kabisa mkuu eden kimarioHabari makapuku forum mmeamkaje ?
Kabisa kabisa

Magazeti tayariShululu hebu y alete magazet kwenye hili jukwaa letu mkuu
Ubarikiwe Nyagei upo?Amen![]()
![]()
Iwe dailyNdio mkuu au una maonii ganiii
Marahaba za uzimaShikamoo mama
Tumeamka salama mkuu!Mmeamkaje?
Sijui uzi utaandikwa au tu yatakuwa kama ya Beyonce and JiggaNimeonaaa nimeonaaaa ila nkajifanya sijaonaaaaa ...ila time ni hakimu mzuri
ebhana fresh niajeHabari makapuku forum mmeamkaje ?
Sawa sawa mkuuItakuwa poaa na mm leo nashinda kwetu hapa
Usajili wa Okwi ni upuuzi km usajili wa Ngassa YangaMichezo burudani na udaku View attachment 525382
Sitowezaa uongo dhambiiIwe daily
Sasa hapo anatetea au anadharirisha [HASHTAG]#amber[/HASHTAG] rose
Anaumwa ujue nimemuomba tukamuone naomba twende woteJorowe atatupa experience yake
Weee ngojaaaSijui uzi utaandikwa au tu yatakuwa kama ya Beyonce and Jigga