Makapuku Forum

Makapuku Forum

ZABURI 5

3.BWANA, Asubuhi utaisikia sauti yangu. Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.

Baba asante kutuamsha salama tunaomba toba kwa makosa yote tunayofanya kwa mawazo maneno na matendo tunaomba uturehemu,tunajikabidhibkwako jumamosi ya leo tuponye,tuongoze ,tutunze,tufariji sawa na mapenzi yako .Linda wasafiri tuokoe katika hatari zote za mwili na roho tunaomba yote kupitia mwanao Yesu Kristo Amen

SIKU NJEMA WAPENDWA MBARIKIWE
Amen ubarikiwe


Ulimkafu dada?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom