Makapuku Forum

Makapuku Forum

1972 - Watergate scandal: Wafanyakazi Watano wa Ikulu ya Marekani wanakamatwa ndani ya ofisi za Chama cha Democrats baada ya kuingia kiwiziwizi kwa lengo la kwenda kutegesha vifaa vya kurekodia mazungumzo ya Wapinzani.

Kashfa hii ilikuja kumsababisha Rais wa kipindi hiko wa Marekani, Richard Nixon kujiuzulu wadhifa wake.
95cb4ad2d5cfd16609845843c5ef4ee8.jpg
c722e82389e40082d5492d7ba582e395.jpg
50b116095acedd6353d8e3c99c530e41.jpg

Bongo hata mtu aandamwe na kashfa 50 zenye ukweli kama za Daudi Bashite hajiuzulu ng'o
Kwetu uongozi ndo kila kitu
....
 
502c8dccc5dfa089e37e6580452c3056.jpg
b7f56a49108957a7b6a579292ffadcaf.jpg
Mauaji yaliwaaibisha na kuwaudhi FBI
fb89cf69026412351d83289298825be9.jpg
Achana na Pretty Boy Floyd walikuwepo pia wahalifu sugu enzi hizo akina John Dilinger na Babyface Nelson ambao waliisumbua FBI na Marekani kwa ujumla
Ila FBI chini ya Edgar J Hoover ikafanikiwa kuwanyamazisha kimyakimya
Bwana mkubwa Hoover ndo muanzilishi wa FBI na aliifanya kama mali yake binafsi ila aliiendesha kwa weledi na akadumu kwa muda mrefu sana sababu kila Rais alimuogopa kumtumbua ili asivujishe siri zao chafu
.....
Asante kwa kuongezea nyama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom