Makapuku Forum

Makapuku Forum

1972 - Watergate scandal: Wafanyakazi Watano wa Ikulu ya Marekani wanakamatwa ndani ya ofisi za Chama cha Democrats baada ya kuingia kiwiziwizi kwa lengo la kwenda kutegesha vifaa vya kurekodia mazungumzo ya Wapinzani.

Kashfa hii ilikuja kumsababisha Rais wa kipindi hiko wa Marekani, Richard Nixon kujiuzulu wadhifa wake.
 
1933 - Kansas City Massacre: Makachero wanne wa FBI na mhalifu mmoja Frank Nash wanauwawa na kundi la Wahalifu liliongozwa na Mhalifu sugu Pretty Boy Floyd.

Hii ni baada ya FBI kumkamata Frank Nash na Pretty Boy kuja na kundi lake kwa kujaribu kumuokoa Nash.

Baada ya tukio hili kulitokea mabadiliko makubwa ndani ya FBI hasa kwa Makachero wake kuanza kutembea na silaha muda wote ili kuweza kupambana na Magenge ya kihalifu yaliyotikisa miaka hiyo.

Na hapo ndipo mwanzo wa kuibuka kwa Katili wa FBI, J. Edgar Hoover na kudili ipasavyo na magenge hayo hatari.
502c8dccc5dfa089e37e6580452c3056.jpg
b7f56a49108957a7b6a579292ffadcaf.jpg
Mauaji yaliwaaibisha na kuwaudhi FBI
fb89cf69026412351d83289298825be9.jpg
Achana na Pretty Boy Floyd walikuwepo pia wahalifu sugu enzi hizo akina John Dilinger na Babyface Nelson ambao waliisumbua FBI na Marekani kwa ujumla
Ila FBI chini ya Edgar J Hoover ikafanikiwa kuwanyamazisha kimyakimya
Bwana mkubwa Hoover ndo muanzilishi wa FBI na aliifanya kama mali yake binafsi ila aliiendesha kwa weledi na akadumu kwa muda mrefu sana sababu kila Rais alimuogopa kumtumbua ili asivujishe siri zao chafu
.....
 
Hhaaa!

Yule jamaa alikuwa katili wa kufa
 
Nadhan Nash mc katoa huku jina
 
Kwema mdau
Afadhali umekuja.....kuna pipo zinafikiri huu uzi ni kwa ajili ya kushindana na watu fulani au kupeana maLIKE

Wewe ni mfano mzuri japo umeanzisha uzi lakini huingii kila muda ili kupost post bali unapopata muda tu....
Hivyo waelewe uzi sio wa mashindano ya kupost wala kupeana maLIKE bali kudumisha urafiki na kupeana maarifa mawili matatu
......
Ni kweli ndugu. Huu Uzi kwajili ya kupeana taarifa na mambo mbalimbali ili kuongeza maarifa katika ubongo wetu.

Swala la likes ni kama support Tu. Mtu akija kwenye huu Uzi ili kupata likes anakosea Sana.

Tupo Kwa ajili ya urafiki na kupeana taarifa muhimu.
 
502c8dccc5dfa089e37e6580452c3056.jpg
b7f56a49108957a7b6a579292ffadcaf.jpg
Mauaji yaliwaaibisha na kuwaudhi FBI
fb89cf69026412351d83289298825be9.jpg
Achana na Pretty Boy Floyd walikuwepo pia wahalifu sugu enzi hizo akina John Dilinger na Babyface Nelson ambao waliisumbua FBI na Marekani kwa ujumla
Ila FBI chini ya Edgar J Hoover ikafanikiwa kuwanyamazisha kimyakimya
Bwana mkubwa Hoover ndo muanzilishi wa FBI na aliifanya kama mali yake binafsi ila aliiendesha kwa weledi na akadumu kwa muda mrefu sana sababu kila Rais alimuogopa kumtumbua ili asivujishe siri zao chafu
.....
Duniani kumepita majemedari wa kila aina.

Ama kweli Dunia ni uwanja wa fujo!
 
Ni kweli ndugu. Huu Uzi kwajili ya kupeana taarifa na mambo mbalimbali ili kuongeza maarifa katika ubungo wetu.

Swala la likes ni kama support Tu. Mtu akija kwenye huu Uzi ili kupata likes anakosea Sana.

Tupo Kwa ajili ya urafiki na kupeana taarifa muhimu.
Point mkuu...!

Hapa tuna stretch akili ya mtu..! Unajua ambalo ulikuwa hujui..

Unapata marafiki zaidi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom