Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Vibanzi vibanzi vibanzi vibanzi
Vibanzi vibanzi vibanzi vibanzi
Asante mme mweeView attachment 525394Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa Mndali, nawatakieni siku njema
Unaumwa nn mpendwa?!Anko, asante kunijulia hali. Siko salama kivile, sema tu nashukuru maumivu yamepungua baada ya kumuona dokta usiku.
Vipi wewe

Mimi siafiki wanaopata mimba kurudi darasani
Nawe pia mkuuTuwe na siku njema
Kawaida lazima wikend ipigweee ....ila wale wakorofi wakuquote waacheSalama kabisa mkuu
Kwanza nimefurahi story imeendelea ni jambo jema
Sawa twende sasa
Kodooooo in husna voice
Najuaaa huyu si bhinamu yangu nilitaka kujua location ipi make ana madokta kibaooJiongeze mkuu dokta wa usiku
Bravo ni jipu pale City
Kweli kweliiSpeed kali
Utanitag akijibUnaumwa nn mpendwa?!
![]()
Asante mpendwaNawe pia mkuu
KwemaSiku njema makapuku
Pamoja sana mtoto wa MaoAsante mme mwee
HaielewekiAjibu kaenda kweliii au magazetii??
Nzuri, za kwako mkuuHabari ya asubuhi mkuu
Bado nane mkuu huo ndio uhakika.Mfungu 22 leo, bado siku 7 au 8! Ramadhan Kareem.
Wabongo bwanaa ... ila kwenye kumi zilizobamba jana sijui nilisahau yanga walisema hakuna kitu kama hichoHaieleweki
Mkuu deal done kwenye usajili hutupashii lakiniBravo ni jipu pale City
Safi sana