Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pale sijaharibu, hata wewe ukiangalia nimeuliza tu swali wala sikuwa na nia ya kujiharibia ila ulipoanza sasa maneno yako na Tumosa ndo mkaniharibia.

Niombeeni msamaha sasa maana mimi nimekosa hata cha kuongea, tangu lini mshumaa ukawa maua? Eti kweli husna muba yaani umenipa maua halafu nasema mshumaa, si nimerogwa mimi?!
Wala hujarogwa kawaida tu mpendwa[emoji4] ucjal
 
65c0f8d4b2969fe756c975addc9599bb.jpg
aisee
 
...ungeniambia mapema sasa, yaani unaniambia mwisho 🙁 tayari lishabuma, anyway nitamuomba tena anitumie halafu bila kuchelewa nasema asante nyiiingi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] obe wewee hurumia mbavu zangu
 
Back
Top Bottom