shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante kwa leo katika historia bora kabisa mkuu diktetaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante kwa leo katika historia bora kabisa mkuu diktetaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Morning Obe....kwa kuwa nimedhamini magazeti leo kwanza nashukuru halafu namtaka kila Kapuku anywe chai na chapati kwa hela yake.
Good morning good people.
Mpendwa tu inatoshaMishumaa inafanana na maua, asante mpenzi, well sijui ni.mpenzi au mpendwa. Vyovyote vile nnakulike

Amen, ubarikiwe mama mchungajiNAHUMU 1
7.Mwenyezi Mungu ni mwema, yeye ni ngome ya usalama wakati wa taabu, Yeye huwalinda wote wanaokimbilia kwake.
MUWE NA SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA![]()
![]()
![]()
Angepotezwa![]()
![]()
Ni Mturuki
Papa alimtembelea gerezani na kumsamehe
Pata picha kama angekuwa ni "bwana yule" mzee wa visasi
......
Lol! Simu yangu mbovu hakyanani tena, scriniprotecta haioneshi vizuri. Sasa ndo imebidi niisafishe.
Asante mno kwa maua, nimeyapenda sana

Enzi hizo hakuwa na makinda![]()
![]()
![]()
Kakariri makinda ya Prof Mr Bean
....
Niko poaMzeewakungoa uko poa
Za kwako?Mzeewakungoa uko poa
Shem nae?Mzeewakungoa uko poa
Wenger anamchukuaMourinho kumfyeka chris smalling?
Inamoto![]()
![]()
Huyu ndo Messi wa Wajapan kando ya Shinji Kagawa na Hidetoshi Nakata achana na flop Takuma
......
ng'ombe 40 si level yangu. Ongeza40......hawatoshi? Unajua kule kwetu usukumani ni mahari ya mwanamke hayo.
Nzuri mkuu, vip pande hizoZa kwako?
Mahari ya mwanamke mweupe40......hawatoshi? Unajua kule kwetu usukumani ni mahari ya mwanamke hayo.
Ng'ombe wakiongezeka nishtue..
Nawaona Nawaoba Badugu sanguMy love
Taja unataka wangapi Queen Deming'ombe 40 si level yangu. Ongeza
T wa sakayo uko poa mkuuNawaona Nawaoba Badugu sangu