mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Na mimi jamani... Mungu akipenda kesho.Amen mama
Na kwako pia
Uwe na usiku tulivu
Na mimi jamani... Mungu akipenda kesho.Amen mama
Na kwako pia
Uwe na usiku tulivu
Nmekumic mkuu nipe jichura toka mkataba yakomzee wa churaaa
Sawa mkuu...Nilikuwa mgambo JKT kabuku wilaya ya Handeni.
Nmekumic mkuu nipe jichura toka mkataba yako
Usije ukavuta tuu shem...aisee bangi ni dawa kumbe haleluyaa
Long time brooh!Amen mama
Na kwako pia
Uwe na usiku tulivu
Umepona mama
OkSawa mkuu...
Vijana wa msange Tabora wanakusalimia
Wewe hulali?Makapuku kalaleni!
Mimi mlinziWewe hulali?
Kwani huku kwetu ikoje? Cyber Crime inakuonea tu hata kama hujavunja sheria? Simamia ukweli na uwe na proof na utaishi kwa amani mstarehe!Anhaa kumbe cyber crime ipo ila ni mpaka ujaribu kuvunja sheria za nchi sawa.
Nadhani huko ni lazima kila device iwe on GPS
Mimi mlinzi