Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaani bagheshi unajifanya kama hujui vile ha ha ha ha ha ha... Bongo movie actors wengi humu.
Nitajuaje mkuu? Kuna mambo mimi na shemeji huwa hatuongei ila nilitegemea kwamba pengine kwenye jambo kubwa kama hili shemeji angenishirikisha angalau kwa kuomba ushauri...

Vipi, unataka kuhamishia "udada" wako kwa shemeji au Obe alishakuwahi? Changamka!
 
Basi ili tumwamini magufuli Katika hili aliamuru bunge kutengua kinga za kutoshtakiwa za marais wastaafu kama alivyomwamuru spika kuendelea kuwapa kibano wapinzani pâle bungeni

Kama hili halitafanyika basi hakuna vita y'a uchumi hapa tunazugana tu
Sidhani kama rais ana mamlaka ya kuliamru bunge kufanya cho chote. Hiyo ni mihimili tofauti.

Na kwako wewe vita vya uchumi ni pale tu marais waliopita wakishtakiwa? Au unamaanisha nini?

Na pengine sasa ndiyo watu wataelewa kwa nini JK alikwamisha mkakati wa kupata katiba mpya tena baada ya kupoteza mabilioni ya shilingi. Never trust a politician. Nevaaaaaa !!!
 
Nitajuaje mkuu? Kuna mambo mimi na shemeji huwa hatuongei ila nilitegemea kwamba pengine kwenye jambo kubwa kama hili shemeji angenishirikisha angalau kwa kuomba ushauri...

Vipi, unataka kuhamishia "udada" wako kwa shemeji au Obe alishakuwahi? Changamka!
Huyo anahitaji mtu mwenye philosophy kama wewe... Mimi simuwezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom