Mwanasheria mkuu wa Marekani Jeff Sessions amesema pingamizi la kimahakama dhidi ya hatua ya rais Trump kupiga marufuku baadhi ya raia kutoka nchi za kiislamu kuingia Marekani ni kuhatarisha usalama wa taifa hilo.
Huku dunia ikiadhimisha siku ya watu wenye ualbino, bado changamoto ni nyingi ikiwemo mauaji ya mara kwa mara.
Serikali ya Uganda imeomba radhi ubalozi wa China nchini humo kutokana na kusingiziwa kuwa walanguzi wawili wa pembe za ndovu waliotajwa katika barua ya rais Yoweri Museveni walikuwa wanafanyakazi wa ubalozi huo.
Huko Tunisia baadhi ya wanawake huachika punde tu waolewapo baada ya waume zao kugundua kuwa hawakuwa bikra.
Mikaka mitatu tokea mauaji ya watu watu 50 huko Mpeketoni nchini Kenya Raia bado wanaishi kwa wasiwasi..kwanini?Nawe pia mkuu Shululu ubarikiweUsiku mwema makapuku wote
Asante Lee Asubuhi njemaWakuu kumekucha swalamaaaaaa. .....soon UF