shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Huyo unayemtaka awekwe hagusiki, alishaambiwa wewe pumzikaIla hii ripoti ukiipitia inakuacha na maswali lukukii na kuzidi kukukanganya kwa mawazo yangu lakini ..mfano ripoti imesema kuhusu kuondoa hisa za serikal katika mikataba hii ya madini toka 15% mpaka 0% na mawaziri tofauti ok hatujui walifanya kwa maksudi au manufaa yapi ? Lakini sasa ukipitia sheria ya madini ya 73 yr na kurefer mikataba ya awali ya Acacia unaona Acacia wana hati ya kufanya hivo ..
Mambo ambayo tungelipata pa kuanzia kutokana na matokeo ya ripoti mfano nani waziri aliyeingia makubaliano ya 15% huo mwaka 1994 make nakumbuka vyema kulitokea mabadiliko ya mawaziri make 1990 hii wizara ilikuwa maji nishati na madini chini ya Jakaya Kikwete mpaka 1994 ...mwaka huo huo 1994 mpaka 1995 aliingia Jackson Makweta ...ingeweka wazi mwezi upi hii 94
Na wakati inaondolewa 10 nan alikuwa juu ya jambo hili ...waziri au mkuu wa nchi ??
Ila kiukweli Tanzania ina wenyewe kwa dizaini hii