Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20170613-WA0016.jpg
 
Kasome katiba
Marais wana kinga ya kutoshtakiwa hivyo hata mkiwapeleka Mahakamani Jaji/Hakimu atawaambia hao marais hawana kesi ya kujibu na kuwaachia tu huru maana wanashtakiwa kinyume cha katiba
Hivyo kuwataja akina JK Na Mkapa ni kupoteza muda
Hivyo km mmemind mkawashtaki tu mbinguni
Tatizo ni katiba mbovu
...........
Basi ili tumwamini magufuli Katika hili aliamuru bunge kutengua kinga za kutoshtakiwa za marais wastaafu kama alivyomwamuru spika kuendelea kuwapa kibano wapinzani pâle bungeni

Kama hili halitafanyika basi hakuna vita y'a uchumi hapa tunazugana tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom