Magazeti leo yamejinadi kadiri yawezavyo ..ila suala hili limeibua maswali mengi ambayo kupata majibu yake sio rahisi kuyapata
Ni kweli, pia hayana uchambuzi wa kina yanaandika habari kisiasa zaidiMagazeti leo yamejinadi kadiri yawezavyo ..ila suala hili limeibua maswali mengi ambayo kupata majibu yake sio rahisi kuyapata
Ila ngoja tuone mwisho wake ...
Tanzania ni yetu
Mbona Hujanijibu bagheshi?Unajua bagheshi nataka nibadilishe I'd nijiite MWANAMABUSHEGHE
Kwangu naona ipo sawa. Ni huyu kijana aliyejifotoa akiiba mafuta kutoka katika gari ya polisi huku akiwapa mido finga na baadaye akaiweka hiyo picha Facebook polisi wakaishia kumdaka...![]()
Mwangaluka bhabha...... Mwamisha mola?Usiwe na wasiwasi. Nitaacha kukutania...