Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nikupe no yake uamini?


Nimekutumia pm

pm ipiii hiyo shemela

Dah huu wivu
nakuja baba angu

Haaaaahaaaa

shemela wangu jamaan mbona umefurahi hivyo

Ulivyoenda faster pm, wakati Kwangu ulikuwa huijui

hahaha lakini ni kweli shemela yako lini nimeijua mie jaman
 
Mpaka na mi niweke leaving certificate ndio nitaonekana mtu mzima humu? Huyo Obe nilimwambia kila zama na watu wake. Kama alikuja na ngonjera za "eyo wasapu" obviously lazima aonekana joti to my BlessedHope.
Utaandika ngonjera, mashairi ya kila namna, utaimba kila wimbo, hata ukilia hautopenya katika fikra zake kikubwa endelea kuomba upewe neno la uzima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom