Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nitumie lugha gani eti?
hivi denoo ujue mama mchuchu ni mtu mzima kama mama yako ujue halaf kingine mama mchuchu hamtaki mtu yeyote zaidi ya mukongo

kuna mtu anaitwa binamu obe we cha mtoto kaongea kila aina ya nyimbo na mpaka leo binamu obe hakati tamaa we mbona bado
Kuna vya sanaa na trailer, ila sio hapa eti. Yani pamoja na unyenyekevu wote mithili ya waridi la alfajiri bado naokekana kingwendu. Uruhusu mshipa wa huruma basi upitishe damu walau hata dk 5 labda ndio utanielewa.
 
hivi denoo ujue mama mchuchu ni mtu mzima kama mama yako ujue halaf kingine mama mchuchu hamtaki mtu yeyote zaidi ya mukongo

kuna mtu anaitwa binamu obe we cha mtoto kaongea kila aina ya nyimbo na mpaka leo binamu obe hakati tamaa we mbona bado
Mpaka na mi niweke leaving certificate ndio nitaonekana mtu mzima humu? Huyo Obe nilimwambia kila zama na watu wake. Kama alikuja na ngonjera za "eyo wasapu" obviously lazima aonekana joti to my BlessedHope.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom