Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hamna
Hutakiwi kuwasimanga uwakutao huko maana umeenda mwenyewe
Ni km Padri aingie CASINO halafu aanze kupiga kelele
Mi nilienda ili tu nijue kuna nini baada ya hapo wala siyo mdau wa huko maana pia ukitaka unaomba kuEXIT km ulivyoomba kujoin ukiona hujapapenda
........
Hahaaa!

Hivi huwezi kuleft kienyeji ?
 
Leo birthday ya sakayo jamani...


Najaribu kumpiga picha nitume ila kila nikijaribu anachukua simu yangu...

Stay tuned! Nitamuotea tuu hata akiwa amelala...
a5da5705009232e68acbb813bfb141dc.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom