Makapuku Forum

Makapuku Forum

29c8b68b3b73cbea9479ef75c420ce48.jpg
 
Dondoo za bbc

[emoji117] Zaidi ya wafungwa 930 wametoroka baada ya kutokea shambulizi na kuvunja gereza moja huko Congo DRC.

[emoji117] Mzunguko wa kwanza wa kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge nchini Ufaransa unaonyesha dalili za chama kipya cha rais Emmanuel Macron kuweza kujinyakulia viti vingi vya bunge.

[emoji117] Afrika Kusini itaadhimisha miaka mitano ya mauaji ya wachimba migodi 34 wa Marikana waliouawa walipokua wakiandamana kudai nyongeza ya mshahara walipotaka ufikie kiwango cha dola elfu moja.

[emoji117] Rais wa Soimalia Mohamed Abdullahi Farmajo amesema kuwa majeshi ya taifa hilo kwa kushirikiana na majeshi ya Marekani wamefanya shambulio kubwa katika ngome ya Al Shabab.

[emoji117] Unafahamu kwamba muziki aina ya Salsa ni mwondoko wa Kiafrika, ambao kwa sasa unarejea nyumbani?
 
Back
Top Bottom