Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Karidi mke mweeeLugha mama muhimu inaleta kujitambua na kujithamini![]()
Karidi mke mweeeLugha mama muhimu inaleta kujitambua na kujithamini![]()
sawaUkipendwa kuringa muhimu dadaangu
Bas sawa wasabahi..!! Kwa sanaHaijambo kabisa
Mungu anakuonaaMie hata sijui mlango
Salama shemelaHabari ya uzima humu ndani
wekeni jamaan nini shida na ukiweka ya uongo naweka yenyeweNaweka picha yako ujue..
Kwani wewe unaringasawa
natupiaNitupie ama unatupia wewe?
Muulize mkeo sasaaaMungu anakuonaa
nimeona hata cha kuongea nimekosaMwenzako ka quote tena ...sasa yamekuwa mazoea
Mbona kwa ugariwekeni jamaan nini shida na ukiweka ya uongo naweka yenyewe
Aiseenimeona hata cha kuongea nimekosa
na mengine yameanza tena mkeo kaharibuBila mimi yasingeisha
mtu mzima nyagei hataki mambo ya kijingaKaweka wazi
jamani me mlokole siku hizi nashinda kapuku tuMie hata sijui mlango
KapoteaWapi Mndali ndanyelakakomu
Au umemtuma tenana mengine yameanza tena mkeo kaharibu
hahhah shemela sijakuuliza weweNipo mimi hapa au
eti Baba D unahusika vipiii alipokuita nyagei mnajua me sielewi me nina moyo jamaanUchochezii
Sijui nini kinaendelea hapa, ebu ngoja nikaze jicho la tatu kwanza
