Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ha ha ha ha ha haa wa madee au ??Jamaa sijui alikuwa anacheza wimbo gani..labda 'pombe yangu'![]()
Kama kawaida yetu mkuuLee empire nakuona mkuu
Morning Lee, D hajambo na mama yake?Good morning family. ..ni siku nyingine na mwanzo mzuri wa wiki ..yatupasa kuitumia vyema na kufanya yampendezayo Muumba wetu ...
Soon UF
Asante kwa UF, nawe pia siku njemaTuwe na siku njema wakuu ...
But we need to..![]()
Morning mr shululu ...wote wazima kabisaMorning Lee, D hajambo na mama yake?
Pamoja kiongozi ...Asante kwa UF, nawe pia siku njema