Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Apo ndo nashangaa eti s square yupo ??Hahhaa!
Kule siwezi kwenda mkuu..
Apo ndo nashangaa eti s square yupo ??Hahhaa!
Kule siwezi kwenda mkuu..
halaf mbona mumeo kila siku analiulizia huyu anataka kwendaHahaha
Yaani wewe
Bila mimi yasingeishayaliisha hayo
halaf ujue shemela kuna kipindi alishaiweka ile kama avatar yakeAlikataa, akasema ni mdogo wake
Kaweka wazi![]()
![]()
shemela ujue nacheka sana ujue shemela nyagei inaonekana ni mtu mzima mambo ya utoto hapendi kabisaa
hivi ukipotea ghafla tumuulize nanii unayeaminiana naeKweli kabisa bwana madenge
Weka tuuNaweka picha yako ujue..
MsalimieNa shunie kaja now!
kwahiyo lee anahusika vipiii usitafune maneno we ongea tuUkirejea maongezi yenu utagundua kitu kwanini lee nilimtag
Mie hata sijui mlangoMbona mlisema mpo na dadako
usijal nitaituma mimiLeo birthday ya sakayo jamani...
Najaribu kumpiga picha nitume ila kila nikijaribu anachukua simu yangu...
Stay tuned! Nitamuotea tuu hata akiwa amelala...
Nipo mimi hapa auhivi ukipotea ghafla tumuulize nanii unayeaminiana nae
Uchocheziihalaf ujue shemela kuna kipindi alishaiweka ile kama avatar yake
sawa sawaTunafanana na dogo langu nilimpa hiyo picha aiweke makusudi ila sio mimi..
Mm sio dogo huyo.
Hahahha...!! Karibu mr. njoghomileSijui nini kinaendelea hapa, ebu ngoja nikaze jicho la tatu kwanza
Mpeleke tuuhalaf mbona mumeo kila siku analiulizia huyu anataka kwenda