Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sasa bagheshi unanipigia ndogo ndogo kwa dadaangu?..... Dadaangu huyo ujue... Mi namuheshimu sana. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ukimkuta yuko mtupu anakoga utajiziba macho kwa kiganja na kurudi nyuma kimbelembele kisa eti ni dadako? Tuanzie hapo kwanza hasa ukizingatia kuwa mfalme Daudi (shujaa wa imani) alifeli huu mtihani...
 
Baba D asante jamaan ila nimecheka sana [emoji2] [emoji2] kafumania mchumba ake na kupigwa kapigwa mtu umeshaona mchumba ako ana baunsa unakufa na tai shingoni utajua mbele kwa mbele ila mam mtu mbaya sana [emoji23] [emoji23] huyu jamaa kapigwa jamaan kama nimemuona ila pole yake sana kwa kipigo cha baunsa
Kumbe uliquote
 
Ukimkuta yuko mtupu anakoga utajiziba macho kwa kiganja na kurudi nyuma kimbelembele kisa eti ni dadako? Tuanzie hapo kwanza hasa ukizingatia kuwa mfalme Daudi (shujaa wa imani) alifeli huu mtihani...
Hayo majaribu sasa...... Mimi nilishamwambia kwamba mtihani huo utanishinda.... Sio kwamba simuheshimu.... Only that the stimulus is too strong to stay aloof.
 
Back
Top Bottom