Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
mama yangu umefurahi sana naona hapo umemkumbuka mukongo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mama yangu umefurahi sana naona hapo umemkumbuka mukongo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
umemuitia naniCc aganza
Naweka picha yako ujue..Mwambie aseme ukweli
Ushasema tayariLeo birthday ya sakayo jamani...
Najaribu kumpiga picha nitume ila kila nikijaribu anachukua simu yangu...
Stay tuned! Nitamuotea tuu hata akiwa amelala...
au una swali shemela nakuona umefurahii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nitupie ama unatupia wewe?naendelea vizuri tu shem hofu kwako
akikujibu niiteMkuu, Aganza anahusikaje hapa?
Nakufatiliaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na mnajua mliopo huko?
Ila ukiomba kutolewa unatolewa eeh?
yaliisha hayoKumbe uliquote
AiseeeeHamna
Hutakiwi kuwasimanga uwakutao huko maana umeenda mwenyewe
Ni km Padri aingie CASINO halafu aanze kupiga kelele
Mi nilienda ili tu nijue kuna nini baada ya hapo wala siyo mdau wa huko maana pia ukitaka unaomba kuEXIT km ulivyoomba kujoin ukiona hujapapenda
........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji109] [emoji109]
Nimeona alikuja kukana
Na shunie kaja now!Ushasema tayari
Kumbe ndo mpango wako eeh
lee vipiii umemuita weweAtakujibu lee
Mwenzako ka quote tena ...sasa yamekuwa mazoeayaliisha hayo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukipendwa kuringa muhimu dadaangu
Mbona mlisema mpo na dadakoAiseeee
Basi Sawa mkuu, huko sina hata mpango napo kabisaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] shemela ujue nacheka sana ujue shemela nyagei inaonekana ni mtu mzima mambo ya utoto hapendi kabisaaNa amekana kweli kweli, ila shemela shunie sasa alivyombana
Cc Nyageiumemuitia nani
sawa mke mweeNdioooo