mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
Mama wa Mchungaji niko vzr kabsa... Jukwaa letu ndo nimpunguza kuhudhuria ila soon nitakuwepo ....Nimefurahi uko salama, za uzima? Za siku? Mungu akubariki sana, tunakumis
Mama wa Mchungaji niko vzr kabsa... Jukwaa letu ndo nimpunguza kuhudhuria ila soon nitakuwepo ....Nimefurahi uko salama, za uzima? Za siku? Mungu akubariki sana, tunakumis
Malaika wa Bwana wazunguke sehemu utakayo laza ubavu wako usiku wa leo. Wakuhepushe na muovu shetani na nguvu zote za Giza usiku huu. Njozi njema ziwe sehemu ya usingizi wako, na damu ya Yesu iwe nguzo na kuta za chumba ulimolala...!Muwe na ucku mwema wapendwa nna ucngizi hatari
Ataujulia wapihahahhh hajui mziki wa binamu
Blessed natamani kukuona ukiwa kama mama TheresiaVery true, RIP Mother Theresia![]()

Shemela Asante kwa kukielewa kijiji cha yetu machosawa sawa yetu macho
Nawe pia my swi, ngoja nimalizie movie nakuja tulaleMuwe na ucku mwema wapendwa nna ucngizi hatari
ila shemela weweShemela Asante kwa kukielewa kijiji cha yetu macho

hahahh ngoja binamu ajeAtaujulia wapi
kweli shemela akija anadai maua
bado sanaWote mmelala..
Karibu sana Mungu aendelee kukutunza, ubarikiweMama wa Mchungaji niko vzr kabsa... Jukwaa letu ndo nimpunguza kuhudhuria ila soon nitakuwepo ....
Ubarikiwe dear Tumosa, usiku mwemaMuwe na ucku mwema wapendwa nna ucngizi hatari
ZABURI 55

Karibu sana mkuuNjema kabisa mkuu
Nipo dear nawamiss mno Tupo pamojaAsante mama we missed u alot
Hahahahaaisee mama mchuchu kweli unangara na damu ya Yesu
Muda ndio huu bossLeo birthday ya sakayo jamani...
Najaribu kumpiga picha nitume ila kila nikijaribu anachukua simu yangu...
Stay tuned! Nitamuotea tuu hata akiwa amelala...