Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
HahahaWanasema ni Mondray sijui Monde or something. Mapenzi ni kikohozi ati!
HahahaWanasema ni Mondray sijui Monde or something. Mapenzi ni kikohozi ati!
Yatakuwa ya naberelaHawez fanya hivo ....
Alafu ulikula maharage ya wapi ukaquote simulizi nzimaa
Shwaiiiiniiii
Mweupeeeeee!4/Hinda Deby Into![]()
![]()
Ndiye First Lady wa huko Chad
Ana umri wa miaka 37
.....
hivi mke mwee kwahiyo hutaki kupitwa
unasoma vyote aisee kila mtu na kipaji chakeCjuiTrace ndiyo nini?
id mpya kazi yake inakuaga hivi kutukana watu au kuingia kwa lengo maalumNawaona hawana michongo ya kidwanzi kama yako na mwenzako.
Natengeneza mazingira nichukue mrembo sakayo nyie mnaleta mishe ambazo siyo.
Subiri na vyie wanaume watakuja watawatongoza acheni kumuonea wivu mwenzenu.
Sema ndiyo tabia zenu nyie wanawake...Lee empire na Nyagei!
Nawe unataka kumjua ili iweje?Ili iweje?
Wasukuma kwa vyeupe utawajua tuMweupeeeeee!
Mzeewakungoa, ulishafika wapi na Shunie wako? Nasikia nawe umeishia kuwa mlinzi kama Shedede. Ni kweli?

Asante mkuuTOP TEN
Week end uanza Ijumaa hivyo kama kawaida yangu baada ya kuijngiza mbuzi bandani kutoka malishoni nikashtua togwa kidogo na vitumbua vya 300/= na kujisikia fresh...Now nashusha 10 kubwa zen naendelea na starehe zangu
.
.
Km kawa Ijumaa hatujadili siasa wala uchumi
Hakuna ubishi kwa Tanzania Mama Salma Kimwete ndo First Lady mwenye mvuto wa sura na umbo kuliko wote ....huyu mama Janet ana sura ngumu jamani
Sasa basi nakuletea Mafirst Lady 10 wenye mvuto zaidi barani Afrika kwa mwaka 2016 hivyo wengine inawezekana wameshaondoka Ikulu
Karibuni
.....
Wao ndiyo wanasabisha iwe hivyo.id mpya kazi yake inakuaga hivi kutukana watu au kuingia kwa lengo maalum
Sawa sawa7/Ana Paula Dos Santos![]()
![]()
Ndiye usingizi wa Rais wa Angola bwana Santos ambaye hataki kuacha kuogelea kwenye swimming pool la Ikulu licha ya kutawala muda mrefu
Enzi zake alikuwa ni nwanamitindo
......
unapenda vyeupe msukuma hivi hakunaga msukuma anayependa vyeusiMweupeeeeee!
Huoni sakayo kashindwa kusoma hadithi, lakini wewe umeisomahivi mke mwee kwahiyo hutaki kupitwaunasoma vyote aisee kila mtu na kipaji chake
cuzo mda sijamuona sijui vipiSalama kabisa
Nimekupezeni na cuzo wako
BobdonWallah vile nimekuwa nikikuona humu na kufuatilia namna unavyohendo maisha ya humu JF. Hakika unafaa!
Moyo wangu umekuridhia!