shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ni kumkaushia tuid mpya kazi yake inakuaga hivi kutukana watu au kuingia kwa lengo maalum
Ni kumkaushia tuid mpya kazi yake inakuaga hivi kutukana watu au kuingia kwa lengo maalum
Ngoja nikuache ukikua utaachaWewe ni KE au ME?
Kama wewe ni KE acha wivu hii siyo bahati yako ni ya sakayo Mkuu.
Kama ME angalia vizuri upo mbiyoni kupoteza sifa ya kuwa ME.
Mbona akina werrason, shimba ya Buyenze wametulia hawana hizo mambo unazofanya Mkuu?
Be like a Man!
hahha kwenye hadithi kwakweli sinaga uvivuHuoni sakayo kashindwa kusoma hadithi, lakini wewe umeisoma
SawaNgoja nikuache ukikua utaacha
MkuuThanks Mkuu shimba ya Buyenze.
Kila kitu ni kupambana Mkuu.
Nimeona nijitokeze hapa hapa kuonesha kuwa nina nia nzuri tu kwa huyu mrembo ambae amekuwa akinisumbua ndotoni kwa muda mrefu.
Pia kujitokeza wazi wazi ni jambo nzuri sana kuliko wale wanaokimbia kwenda PM.
hiki ndio muhimu lee nilishamwambia toka mwanzo aachane naeNi kumkaushia tu
mashallah3/Chantal Biya![]()
![]()
![]()
Ana umri wa miaka 45
Huu ndio usingizi wa "babu" Paul Biya wa Cameroon.....vijana tafuteni pesa !!
Ni maarufu kwa kufanya matanuzi ya kila aina
Anapebdelea zaidi kwenda Paris kuchukua viwalo na makorokoro mengine
.....
Oyaa hebu nyamANZAA BANAASiwezi kujadili mvuto wa mwili wa mwanamke kwa sababu hakuna sifa jumuishi za kimalimwengu zinazokubalika na kila mtu. Na kufanya hivyo, kwa maoni yangu, ni kupoteza muda tu. Mimi binafsi napenda vibonge lakini siwezi kuweka hapa picha ya mwanamke kibonge ndiyo nidai eti huyu ndiye mrembo wakati huo huo mtu kama Nyagei akiona mwanamke kibonge anatamani hata kukimbia.Ndiyo maana hapo juu nimesema kila mtu na lwake; na nikakimbia kabisa. Samahani kama nazingua lakini natoa maoni yangu tu kama ilivyo kawaida. Au unataka wote tuseme mrembo, mrembo, mrembo kama wengine wanavyofanya? Mrembo, mrembo, mrembo...kwa mujibu na vigezo vya nani? Vyako wewe?![]()
Na kuhusu ugumu wa sura ya Mrs. Magufuli hiyo ni ishu nyingine ambayo kwa maoni yangu haina hata hadhi ya kujadiliwa hapa. Endelea kushusha hao "warembo" mkuu. Usikwazike !
Siku hizi sichagui mkuu nawapenda wote sio wembamba wala wanene wote ni sawaSiwezi kujadili mvuto wa mwili wa mwanamke kwa sababu hakuna sifa jumuishi za kimalimwengu zinazokubalika na kila mtu. Na kufanya hivyo, kwa maoni yangu, ni kupoteza muda tu. Mimi binafsi napenda vibonge lakini siwezi kuweka hapa picha ya mwanamke kibonge ndiyo nidai eti huyu ndiye mrembo wakati huo huo mtu kama Nyagei akiona mwanamke kibonge anatamani hata kukimbia.Ndiyo maana hapo juu nimesema kila mtu na lwake; na nikakimbia kabisa. Samahani kama nazingua lakini natoa maoni yangu tu kama ilivyo kawaida. Au unataka wote tuseme mrembo, mrembo, mrembo kama wengine wanavyofanya? Mrembo, mrembo, mrembo...kwa mujibu na vigezo vya nani? Vyako wewe?![]()
Na kuhusu ugumu wa sura ya Mrs. Magufuli hiyo ni ishu nyingine ambayo kwa maoni yangu haina hata hadhi ya kujadiliwa hapa. Endelea kushusha hao "warembo" mkuu. Usikwazike !
Acha ufala mazoea yasizidi mipaka ....Nawaona hawana michongo ya kidwanzi kama yako na mwenzako.
Natengeneza mazingira nichukue mrembo sakayo nyie mnaleta mishe ambazo siyo.
Subiri na vyie wanaume watakuja watawatongoza acheni kumuonea wivu mwenzenu.
Sema ndiyo tabia zenu nyie wanawake...Lee empire na Nyagei!
sababu nyama ni ile ileSiku hizi sichagui mkuu nawapenda wote sio wembamba wala wanene wote ni sawa
Wapounapenda vyeupe msukuma hivi hakunaga msukuma anayependa vyeusi
Kama mzee wa chattelunapenda vyeupe msukuma hivi hakunaga msukuma anayependa vyeusi
BossyHabari zenu
najuaga wasukuma vyao ni vyeupe tuWapo
Sasa unazani aliefunga anaweza kunywa maji kabla ya mda Wa kufungulia?!We Husna umefunga kwani? Kwa nini unasema anaumwa?
Uzi wa shemela shunie umefanya kazi yakeSiku hizi sichagui mkuu nawapenda wote sio wembamba wala wanene wote ni sawa