Makapuku Forum

Makapuku Forum

Uwe unakuja kwangu nikupoze machungu ya kukosa maua[emoji1]


tgif-everybody-dance-now.gif

giphy.gif
 
Ukiwachunguza vizuri utagundua Marastafarrah wengi hawana makuu na mtu
Nimeshakaa ghetto moja kwa miaka 2 na msela mvuto bhangi balaa tukiwa Sekondari lakini ni mtu poa kabisa hana ugomvi na mtu na hadi leo urafiki wetu unaendelea
Bangi zao waachie wao angalia tu utu/matendo yao
....
Da kweli banaa
Hicho ndio muhimu
 
Nawaona hawana michongo ya kidwanzi kama yako na mwenzako.

Natengeneza mazingira nichukue mrembo sakayo nyie mnaleta mishe ambazo siyo.

Subiri na vyie wanaume watakuja watawatongoza acheni kumuonea wivu mwenzenu.

Sema ndiyo tabia zenu nyie wanawake...Lee empire na Nyagei!
[emoji15] [emoji87]
 
Back
Top Bottom