Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Poa mzima weweSafi maambo
Poa mzima weweSafi maambo
Amen mama mchungajiZABURI 9
1.Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote,Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
2.Nitafurahi na kukushangilia Wewe,Nitaliimba jina lako ,Wewe uliye juu.
MCHANA MWEMA MBARIKIWE SANA![]()
![]()

Hapo utafanya la mboleaNitampaga shemela ma flowers mpaka ayachoke aseme kingine Baba D
Poa poa mvuvi![]()
.
.
.
.
Tukutane giza likishaingia
Ngoja niendelee kuchunga mbuzi
End
.......
Nakujua mdogo wangu, yaani mtu asipokuwa makini anaweza kulishwa mguuHivi umejuajeee![]()
Hii ni nzuri kwa afya mkuu /wakuu
Mie siko hapo bhanaWewe umelalajeeee
Sipati picha![]()
Ingekuwa vipi kwa binadamu
...
Mnataka hadithi ??Mtafute tumemiss hadithi yake
Huyo D anapataga shidaNa D wao![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Poa poa tozi![]()
.
.
.
.
Tukutane giza likishaingia
Ngoja niendelee kuchunga mbuzi
End
.......
Wewe na mdogo wakooMie siko hapo bhana
Hapana aiseeWewe na mdogo wakoo
Kiafya cha asubuhi kina madhara kuliko kahawaHii ni nzuri kwa afya mkuu /wakuu
Kiukweli ukitaka kumjua mtu kama yuko sawa upande huu make mm naamini wakunyime vyote lakin hii kitu ujaliwee lazima hii situation awe nayo ..angalau ikipungua mzee awike mara 4-5 usiku umelala
Kitaalamu inaitwa NPT nikimaanisha Nocturnal Penile Tunescence wengi wamezoea kuexperience hasa asubuh kama wazee wenzangu wanavokiheshimu kama morning wood...ila ndo hiyo situation ya usingizini...
Asante Bitoz
Yes ChiefMnataka hadithi ??
Wee kuja apaa
Misamba usingizini
Ukubwanii
![]()

Ndio ujue kwamba una mwanamke wa kitanga.Niachee kipenziii
Yaan dada yako anajua kunitime hatariii ....