Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kwani mwenyewe anakujua ??Simjui aisee
Kwani mwenyewe anakujua ??Simjui aisee
AminTutaugawakwa hwezo wake naamini inshaallah
Ila mama yetu mkuu sasa ni stress zaidi,jamani stress inabadili sana muonekano wa sisi wamama,hakika yule mama ana kila kitu mama anachostahili kuwa nacho only anapitia changamoto...MOYO ULIOTULIA NI DAWA YA MWILIMdau sijamjudge
Leo hatuongelei maendeleo
Hapa tunaongelea mvuto wa mwili hata mtu awe mwizi/fisadi potelea mbali
.....
Ni mrembo hasa8/Olive Lembe di Sita Kabla![]()
![]()
![]()
Ndiye first lady wa DRC itakuwa ndo anayemshauriJoseph Kabla aendelee kungangania Ikulu
Alikuwa ndo First Lady kijanazaidi
Ana umri wa miaka 40
.....
Mdau sijamjudge
Leo hatuongelei maendeleo
Hapa tunaongelea mvuto wa mwili hata mtu awe na roho mbaya au mwizi/fisadi potelea mbali
.....

Namfahamu,ila kila mmoja ana Qualities zake...huyu nimemlinganisha umri na muonekanoSubiri uje umuone wa Kagame
Mdau sijamjudge
Leo hatuongelei maendeleo
Hapa tunaongelea mvuto wa mwili hata mtu awe na roho mbaya au mwizi/fisadi potelea mbali
.....
Personal and political bias huwezi kuzificha mpaka unanukuu statement za Mange. Janeth ndiye ana sura ngumu kuliko ma-first lady wote? Na mvuto wa mwili wa mwanamke unaupimaje? Kuna universal attributes za mvuto wa mwili wa mwanamke? You are treading on a philosophical landmine here. Ingekuwa kwenye jukwaa jingine thread hii isingeishi muda mrefu. Anyway, ni kila mtu na lwakeMdau sijamjudge
Leo hatuongelei maendeleo
Hapa tunaongelea mvuto wa mwili hata mtu awe mwizi/fisadi potelea mbali
.....
♂️
♂️
♂️Wanasema ni Mondray sijui Monde or something. Mapenzi ni kikohozi ati!Huyu ni trace yuko na I'd ingine
Umejuaje kama nachonga mzinga wa nyukiMbona unachonga sana jombaa?
Kwa nini? Ni baada ya kutoka hospitali Muhimbili kipindi kile aliumwa akalazwa.Hii picha ya mwisho imepigwa lini?
Umeongea kitu kimoja muhimu sanaIla mama yetu mkuu sasa ni stress zaidi,jamani stress inabadili sana muonekano wa sisi wamama,hakika yule mama ana kila kitu mama anachostahili kuwa nacho only anapitia changamoto...MOYO ULIOTULIA NI DAWA YA MWILI
Ooh okay mamaNamfahamu,ila kila mmoja ana Qualities zake...huyu nimrlinganisha umri na muonekano
shem wange za weweShem wane
Usinifukuze binamu.... Mimi nakulinda usiibiweToka hapa
Usiku hamna tena si umesema utakua unaweka mara mbili story nzuri umetuonjesha kidogo ile ya shedede haielewekia mwanzo wala mwisho wala kati kati

mrembo8/Olive Lembe di Sita Kabila![]()
![]()
![]()
Ndiye first lady wa DRC itakuwa ndo anayemshauriJoseph Kabila aendelee kungangania Ikulu
Alikuwa ndo First Lady kijanazaidi
Ana umri wa miaka 40
.....
Ndo kulinda gani, nitokee hapa mieUsinifukuze binamu.... Mimi nakulinda usiibiwe
Unaona eehKazi ipoo
Ndo kulinda gani, nitokee hapa mie