Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
OKSiwezi kujadili mvuto wa mwili wa mwanamke kwa sababu hakuna sifa jumuishi za kimalimwengu zinazokubalika na kila mtu. Na kufanya hivyo, kwa maoni yangu, ni kupoteza muda tu. Mimi binafsi napenda vibonge lakini siwezi kuweka hapa picha ya mwanamke kibonge ndiyo nidai eti huyu ndiye mrembo wakati huo huo mtu kama Nyagei akiona mwanamke kibonge anatamani hata kukimbia.Ndiyo maana hapo juu nimesema kila mtu na lwake; na nikakimbia kabisa. Samahani kama nazingua lakini natoa maoni yangu tu kama ilivyo kawaida. Au unataka wote tuseme mrembo, mrembo, mrembo kama wengine wanavyofanya? Mrembo, mrembo, mrembo...kwa mujibu na vigezo vya nani? Vyako wewe?![]()
Na kuhusu ugumu wa sura ya Mrs. Magufuli hiyo ni ishu nyingine ambayo kwa maoni yangu haina hata hadhi ya kujadiliwa hapa. Endelea kushusha hao "warembo" mkuu. Usikwazike !
.....

♂️