Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Machozi yamenitoka ghafla nakupenda Jamaan Baba D wangu Mungu azidi kuniwekea

Machozi yamenitoka ghafla nakupenda Jamaan Baba D wangu Mungu azidi kuniwekea

HahhahhHahaha
Umeonaee
Baby ebu achana naeWee nengenekwaa utakipata unachotaka
Sanaaa kuna mdada mmoja nae nimemuona nitakupmWanakera sana
Sina hata nguvu ya kukusanifu mrembo.Acha habari zako, we usinisanifu hapa.
Kama ulikuwa ukiniona humu ni dhahiri wajua niko na mume...
Na kama ni mmu basi una id ingine, unajua hii id yako ni ya Jana???? Sasa sema ukweli
Acha nijazwe baba angu hakuna namnaTigo anajazwaa
Ugomvi gani jombaa?Ugomvi ntaurekodii
Unaongea kwa kujiamini saaana....Absolutely, Kujiunga na kufuatilia mambo ya JF ni vitu viwili tofauti.
Kabla ya kujiunga nilikuwa nakufuatilia sana. Hivyo Jana nikaamua niwe member wa humu ili niwe karibu na wewe zaidi!
Pia kidogo hata Mimi niwe najumuika na mambo mbalimbali ya JF..
TOP TEN
Week end uanza Ijumaa hivyo kama kawaida yangu baada ya kuijngiza mbuzi bandani kutoka malishoni nikashtua togwa kidogo na vitumbua vya 300/= na kujisikia fresh...Now nashusha 10 kubwa zen naendelea na starehe zangu
.
.
Km kawa Ijumaa hatujadili siasa wala uchumi
Hakuna ubishi kwa Tanzania Mama Salma Kimwete ndo First Lady mwenye mvuto wa sura na umbo kuliko wote ....huyu mama Janet ana sura ngumu jamani
Sasa basi nakuletea Mafirst Lady 10 wenye mvuto zaidi barani Afrika kwa mwaka 2016 hivyo wengine inawezekana wameshaondoka Ikulu
Karibuni
.....
mama janethUsisahauSanaaa kuna mdada mmoja nae nimemuona nitakupm
My dada ndio ameshasemaUnaongea kwa kujiamini saaana....
Anyway, karibu jf mie naitwa Sakayo mke halali wa T, dadake Shunie na shemeji wa watu wote humu ndani....
Asante kwa kunipenda ila mie tayari ni mke wa mtu!!!!
Karibu jf kuwa free, ila heshima iwepo...... Nakukumbusha tu mie ni mke wa mtu.....
Take care
Maana Dunia ndio hii hiiAcha nijazwe baba angu hakuna namna
Ninyonge km umenunaAcha hizo bhana
Unaquote Vipi uzi wote huoo
OKSina hata nguvu ya kukusanifu mrembo.
Nikusanifu ili iweje? Nitapata faida gani hasa?
Kiufupi sina sababu ya kufanya hivyo mrembo wa nguvu!