BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ni mrembo,anapendeza at 619/Dominique Folloroux--Ouattara![]()
![]()
Ndiye anayechezea garden love za rais wa Ivory Coast Allessane Ouattara
Ana miaka 61...ana asili ya Algeria
Kabla ya Ufirst Lady alikuwa na CEO wa kampuni ya urembo ya Kifaransa
.....
