shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Basi itakuwa kheriUko salamaaaaa
Hawez fanya hivo ....![]()
![]()
![]()
huo muandiko ni Wa t
Anamzingua wife wake
Asante mkuu(5) Ni genye au probably ni mental issues?
Madenge. I am done. Tuletee ma-first ladies 10 wenye mvuto Afrika. Nimeweka hizi haraka haraka ili kukupisha. Kama kuna typo nitarudi kurekebisha pole pole. Naanzisha thread ya Falsafa kesho wikiendi...![]()
Weeee Bobdon weeeeeeeeKwanini asiwe ni wewe?
Kwanini haujawaza kuwa wewe ndiyo huyo mondray unayemsemea?

Usingizi5/Zeinab Suma Jamneh![]()
![]()
![]()
Alikuwa First Lady wa Gambia hadi juzijuzi Yahya Jammeh alipotolewa madarakani na Jeshi la ECOWAS baada ya kushindwa Uchaguzi na Kigoma kutoka Ikulu
Yahya Jammeh ana mke mwingine pia aitwaye Alima Sallah
......
Et andunje10/Margaret Gakuo Kenyatta![]()
![]()
Ndiye usingizi wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
Ana umri wa miaka 50(2016)
Ni andunje lakini anavutia
.......

Nawaona hawana michongo ya kidwanzi kama yako na mwenzako.Umewajuajee ??
Akikujibu nitagUmewajuajee ??
Leo ni leoMdomo huo mkuu
Shemela acha uchochezi ujue halaf mwambie mkee mwee kwa lege mambo ni moto

Hapo mama mkapa ndio inshu"Huyu mama Janet ana sura ngumu jamani"...Kulikuwa na ulazima kweli wa hii statement? I respect women a lot na kuwa-judge kwa kuangalia uzuri wao wa nje ni kuwadogosha sana na hata kumdhalilisha Aliyewaumba. They are our mothers, sisters, aunts and colleagues. All our first ladies are beautiful in their own ways and unless kama ni mashindano ya urembo, let us judge them on their integrity na mchango wao kwa jamii.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
HahahaaaaVipepeo 2 utanishtuaa
Watu wanajua mwandiko aisee![]()
![]()
![]()
huo muandiko ni Wa t
Anamzingua wife wake
Ooh okay mamaNamfahamu,ila kila mmoja ana Qualities zake...huyu nimrlinganisha umri na muonekano