Makapuku Forum

Makapuku Forum

8/Olive Lembe di Sita Kabila
54efa94cf907f12fef9a2611839ae4c7.jpg
205aa031e5dfe64b8d5462a666a93508.jpg
a3e593964898828dcd590fb3b61930a2.jpg

Ndiye first lady wa DRC itakuwa ndo anayemshauriJoseph Kabila aendelee kungangania Ikulu
Alikuwa ndo First Lady kijanazaidi
Ana umri wa miaka 40
.....
Yumo
 
Ila mama yetu mkuu sasa ni stress zaidi,jamani stress inabadili sana muonekano wa sisi wamama,hakika yule mama ana kila kitu mama anachostahili kuwa nacho only anapitia changamoto...MOYO ULIOTULIA NI DAWA YA MWILI
Anapitia changamoto gani? Inaonekana mnamjua vilivyo mpaka stress zake. Leteni ubuyu

Unajua wakati mwingine ni personality ya mtu tu. Mke wa Trump naye wameanza kumsema hivi hivi. Ati kwa nini mpaka sasa hana ajenda yo yote ya maana kwa jamii. Mwenyewe anasema hataki spotlight na focus yake kubwa kwa sasa ni familia yake. Afadhali huko kwa wenzetu angalau hawalinganishi political figures kwa kuangalia uzuri na mvuto wa mwili...
 
Personal and political bias huwezi kuzificha mpaka unanukuu statement za Mange. Janeth ndiye ana sura ngumu kuliko ma-first lady wote? Na mvuto wa mwili wa mwanamke unaupimaje? Kuna universal attributes za mvuto wa mwili wa mwanamke? You are treading on a philosophical landmine here. Ingekuwa kwenye jukwaa jingine thread hii isingeishi muda mrefu. Anyway, ni kila mtu na lwake ‍♂️‍♂️‍♂️
Mbona unazingua mdau
Nimetaja tu kwavile yeye ndo First Lady wa sasa

Wajadili hawa ninaowapost siyo umekomaa nae
Kumbuka maneno yangu hayawezi kubadilisha urembo wake km ni mrembo kila mtu anajua and vise versa is true
....
 
Bado ana uandishi wa kitoto
Wewe ni KE au ME?

Kama wewe ni KE acha wivu hii siyo bahati yako ni ya sakayo Mkuu.

Kama ME angalia vizuri upo mbiyoni kupoteza sifa ya kuwa ME.

Mbona akina werrason, shimba ya Buyenze wametulia hawana hizo mambo unazofanya Mkuu?

Be like a Man!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom