shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Abiria chunga mzigo wakoAnachunga mzigo wake
Abiria chunga mzigo wakoAnachunga mzigo wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo sasaKwani mwenyewe anakujua ??
Kweli kabisa mama mchungajiIla mama yetu mkuu sasa ni stress zaidi,jamani stress inabadili sana muonekano wa sisi wamama,hakika yule mama ana kila kitu mama anachostahili kuwa nacho only anapitia changamoto...MOYO ULIOTULIA NI DAWA YA MWILI
Haya ndo nilikuwa nataka useme mwaaaaaanzo kabisaaaaa ...sasa umempa hope atasumbua kiasi flani.Unaongea kwa kujiamini saaana....
Anyway, karibu jf mie naitwa Sakayo mke halali wa T, dadake Shunie na shemeji wa watu wote humu ndani....
Asante kwa kunipenda ila mie tayari ni mke wa mtu!!!!
Karibu jf kuwa free, ila heshima iwepo...... Nakukumbusha tu mie ni mke wa mtu.....
Take care
Akikujibu nitag mkuuMmmmmh huyu husna huyu wa mondray au
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umejuaje kama nachonga mzinga wa nyuki
Huu ni msimu wa Nyuki kuhamishwa sababu ya upepo hivyo naongeza mizinga.
Karibu tuchonge nitakuwa kamisheni
Ukubwa dawaUmeongea kitu kimoja muhimu sana
Ha ha ha ha ha ha ha ha haHivi mbona unaandika kama mondray...
Huyo sio mlinzi kabisaNdo kulinda gani, nitokee hapa mie
mzee wa mabikraa ana mke mzuri6/Queen Inkhosikati LaMbikiza![]()
![]()
Ndiye mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland(ana wake25i)
Kama mnavyojua jamaa ni bingwa wa kuchagua vigori
Aliolewa akiwa na miaka 16
.....
Anaumwa huyooHali ni tete [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Baba D nakusalimia mimi hivi utapigiwa simu na wangapi baba angu
Sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf INA maambo
Siwezi kujadili mvuto wa mwili wa mwanamke kwa sababu hakuna sifa jumuishi za kimalimwengu zinazokubalika na kila mtu. Na kufanya hivyo, kwa maoni yangu, ni kupoteza muda tu. Mimi binafsi napenda vibonge lakini siwezi kuweka hapa picha ya mwanamke kibonge ndiyo nidai eti huyu ndiye mrembo wakati huo huo mtu kama Nyagei akiona mwanamke kibonge anatamani hata kukimbia.Mbona unazingua mdau
Nimetaja tu kwavile yeye ndo First Lady wa sasa
Wajadili hawa ninaowapost siyo umekomaa nae
Kumbuka maneno yangu hawawezi kubadilisha urembo wake km ni mrembo kila mtu anajua and vise versa is true
....
Wanasema ndiye Bobdon [emoji23][emoji23][emoji23]Mondray ndiyo nani kwani?
Pamoja na urembo ni mvumilivu,BIG UP kwake6/Queen Inkhosikati LaMbikiza![]()
![]()
Ndiye mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland(ana wake25i)
Kama mnavyojua jamaa ni bingwa wa kuchagua vigori
Aliolewa akiwa na miaka 16
.....
Huu Usiri usiri ndo hatariSiri yangu