shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Aisee duh
Aisee duh
Wanakera sanaNa mimi nimemuona sijui wanapata faida gani na jf ingekua hamna mods tungekua tunatukanwa kila siku na id mpya
Hahahah
Hakyamama wewe nakugawa.....
Sio kwa ushambenga huo
Tutakufwa wote DadaUnaanzaje kufwa uniache labda
Tigo anajazwaaPoa
Ila fufua ile halotel bhasi
Costa anasema kocha ndio tatizo, wakati alipofunga gori lake la mwisho alinyosha mikono juu kuwaaga mashabiki wa ChelseaNimeonaaa
Kama costa na chelsea
Sio kwa utundu huoKwa nini jamanii![]()
Mwingine photocopy

Poa PoaSawa dada ngoja nikienda kkoo niipeleke simu yake kwa fundi
Rudi hapa
Absolutely, Kujiunga na kufuatilia mambo ya JF ni vitu viwili tofauti.We si umejiunga jf Janaaa?????
AmeeenTutakufwa wote Dada
Sina Tigo mieTigo anajazwaa