BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ni mrembo10/Margaret Gakuo Kenyatta![]()
![]()
Ndiye usingizi wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
Ana umri wa miaka 50(2016)
Ni andunje lakini anavutia
.......

Ni mrembo10/Margaret Gakuo Kenyatta![]()
![]()
Ndiye usingizi wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
Ana umri wa miaka 50(2016)
Ni andunje lakini anavutia
.......

Nashukuru kwa kulitambua hiloThanks kwa kujali sakayo.
Kiukweli nimependa sana unavyojali mrembo.
Kuhusu kuwa mke wa mtu sipingi hilo japo liko nje ya mada kidogo ila siyo mbaya kukumbushana.
Kadhalika, kuhusu suala la kuheshiminiana hakika nakuheshimu sana maana nisipompa heshima mrembo kama wewe nitampa nani?
Pia mtoto mzuri kama wewe ambae kila mwanaume humu ndani anatamani kuwa na wewe huwezi ukakosa mwanaume.
Ni kweli shemelaMaana Dunia ndio hii hii
MhHivi mbona unaandika kama mondray...
Duh(4) Huyu Bibi akikuomba "kiss" ni afadhali tu ukubali. Ukikataa yanaweza kukupata makubwa![]()
Achana nae usimjibu kituNa hilo ndo jibu
Ni naniHahaha
Mie kuna mtu namhisi
Sawa Sakayo!Nashukuru kwa kulitambua hilo
(4) Huyu Bibi akikuomba "kiss" ni afadhali tu ukubali. Ukikataa yanaweza kukupata makubwa![]()

Siri yanguNi nani
Utajisumbua bureSawa Sakayo!
Nitapambana juu yako mpaka pumzi yangu ya mwisho.
Badae kidogo!
Bado ana uandishi wa kitotoUnaongea kwa kujiamini saaana....
Anyway, karibu jf mie naitwa Sakayo mke halali wa T, dadake Shunie na shemeji wa watu wote humu ndani....
Asante kwa kunipenda ila mie tayari ni mke wa mtu!!!!
Karibu jf kuwa free, ila heshima iwepo...... Nakukumbusha tu mie ni mke wa mtu.....
Take care
Poa mdogo wanguAchana nae usimjibu kitu
We unaonaje mdogo wangu
Shem waneMachozi yamenitoka ghafla nakupenda Jamaan Baba D wangu Mungu azidi kuniwekea![]()
"Huyu mama Janet ana sura ngumu jamani"...Kulikuwa na ulazima kweli wa hii statement? I respect women a lot na kuwa-judge kwa kuangalia uzuri wao wa nje ni kuwadogosha sana na hata kumdhalilisha Aliyewaumba. They are our mothers, sisters, aunts and colleagues. All our first ladies are beautiful in their own ways and unless kama ni mashindano ya urembo, let us judge them on their integrity na mchango wao kwa jamii.TOP TEN
Week end uanza Ijumaa hivyo kama kawaida yangu baada ya kuijngiza mbuzi bandani kutoka malishoni nikashtua togwa kidogo na vitumbua vya 300/= na kujisikia fresh...Now nashusha 10 kubwa zen naendelea na starehe zangu
.
.
Km kawa Ijumaa hatujadili siasa wala uchumi
Hakuna ubishi kwa Tanzania Mama Salma Kimwete ndo First Lady mwenye mvuto wa sura na umbo kuliko wote ....huyu mama Janet ana sura ngumu jamani
Sasa basi nakuletea Mafirst Lady 10 wenye mvuto zaidi barani Afrika kwa mwaka 2016 hivyo wengine inawezekana wameshaondoka Ikulu
Karibuni
.....