Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji2] [emoji85] shemela sitaki uchocheziIla nini
[emoji2] [emoji85] shemela sitaki uchocheziIla nini
[emoji2] mukongo nasikia kaibiwa simu binamu kaniambia tumchangieni akanunue ata teknoYeye na mukongo
Nimeiona hio[emoji2] [emoji85] shemela sitaki uchochezi
Da ila kipanya sio wa nchiii hatakag ujingaNimeiona hio
Shukran mkuuMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Chaplin
Nawatakieni wote siku njema na Mungu awabariki
Pole kwa magumu unayo yapitia hakika mungu ata kusaidia[emoji120]Morning all
Niliimiss sana hii familia, asanteni sana sana kwa pole na salaam mbarikiwe sana [emoji120]
inauma sana katika familia kupoteza watu wawili muhimu ndani ya siku moja hatuwezi kumkufuru Mungu yeye ndio anajua kwa nini imekua hivyo Mungu baba muweza wa yote [emoji120]
Lee wangu nakushukuru sana kwa kuwa na mimi bega kwa bega katika kipindi hiki kigumu
Mungu azidi kukubariki na Mungu azidi kuniwekea [emoji120]
Nilikumiss sana kivuruge wangu [emoji8]
Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama na kurudi salama kutoka Tanga kuzika [emoji120]
Mbarikiwe sana muwe na siku iliyo njema [emoji120]
Hahahha nilijua tu utauliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anamzidi husna ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]izo nazo ni rambi rambi tosha![]()
Welcome back my shunie kama ni kukumis nimekumis haswa ila muhimu umerudi salama na wanafamilia yetu walikuwa wanakuombea sana
N.B..mke mwee wako alidai alisaidia kuosha vyombo ...hakutoa rambirambi
Na bhinamu yako Obe naye alisaidia kuchimba kaburi ...
Sweetie nilikumic sana aiseeMpogo?! Miss you all wapendwa kapukus
Hakuzidi kipenzi we ni mzuri mno[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]nilimwambia "nilijua tu atauliza"HV shedede alijubuje hapo?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mweehalijibu mke wa Bob amekupita kwa uzuri
WanaitwajeNisalimie hao viumbe
Mdau segment hii ipo humu + unbelievable facts ambazo zina ufanano
Ila mm huyo "namuona mbaya shedy baby anasema mzuri kuliko husna ....
Mungu aniepushie mawazo niliyonayoo
[emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji2] [emoji2] [emoji2] watu hawaangalii sura ujue
[emoji40] [emoji40] [emoji40][emoji106] amesema ukweli wake
Mbona kawaida tu
Watu wanajua viwanja aiseeGreen Pup ya kunduchi au[emoji3] [emoji3]
GumboNaomba rambirambi kwanza
Mbele kidogo ya Hans popehahahah na ungeijua jina la ile bar ningekoma aisee bora ujue hivyo hivyo