Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Umeanzaa sasa ....![]()
niliwaona mke mwee alikua busy na kuosha vyombo
binamu obe na marasta yake nilimuona alivyokua anahangaika na makaburi![]()
Unaendeleaje lakini hope upo poa, halaf baby mwambie mke mwee na shemela nina kesi nao kwa nini walikucheka ulivyomwita Tumosa mke mwee![]()
Mmmmh na wewe wanichekaa
![]()
niliwaona mke mwee alikua busy na kuosha vyombo
binamu obe na marasta yake nilimuona alivyokua anahangaika na makaburi![]()
Unaendeleaje lakini hope upo poa, halaf baby mwambie mke mwee na shemela nina kesi nao kwa nini walikucheka ulivyomwita Tumosa mke mwee![]()

Naanzaje kukucheka mimi sikutegemea ukabadili ukarudi kwenye mme mwee hapa sawa sasa baba angu mme mwee na mke mweeMmmmh na wewe wanichekaa
kwa nini shemela lakini
Shunie pole na matatizo mamyAisee inasikitisha sana mara ya mwisho nilimuona kwenye tv anaongea kuhusu kupeleka michango akasema aone wa kumkamata
Asante dear nimeshapoaShunie pole na matatizo mamy

Asante T wa Dada kwa NukuuNUKUU YA LEO.
Because i grew up playing for Roma and i want to die playing for roma, because i have always been a Roma's fan
Kwa kuwa nimekuwa nikiwa naichezea Roma , nataka nife nikiichezea Roma kwa kuwa mimi nimekuwa shabiki Roma.
Maneno yalipatwa kusemwa na Francesco Totti mshambuaji wa time ya As Roma na taifa la Italia.
Totti anashikilia rekodi ya kuwa Captain mdogo katika ligi ya Serie A
Amekuwa mfungaji mwenye umri mkubwa kwenye ligi ya mabingwa ulaya.
Anashikilia rekodi ya ufungaji wa penati nyingi Serie A.
![]()
![]()
![]()
Muendelezo tuu wakuu..
Muwe na asubuhi njema.
HV shedede alijubuje hapo?![]()
acha uchochezi
Ndio ananizidiNimeulizaa
alijibu mke wa Bob amekupita kwa uzuriHV shedede alijubuje hapo?
Morning sweetheartMorning family
Pole sana aiseeeehNdio ananizidi