Makapuku Forum

Makapuku Forum

00ccedc5660082cd03d768f95bf413a5.jpg

Ahaaaaaaaah wewe kibokoooo sio kwa swali hilo
 
MHUBIRI 7

8.Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake,Na Mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi

Asante Baba kwa Upendo wako mkuu hats kutuamsha salama tutunze,tulinde,tupe Leo njema

Roho Mtakatifu tuongoze katika kunena na kutenda ili tuwe baraka kwa wengine.
Tupe uvumilivu na Upendo kwa wenzetu.

Tunaomba na kushukuru Amen

SIKU NJEMA MBARIKIWE
 
Habari za asubuhi makapuku wenzangu! Kumekucha na kama kawaida tunachofanya ndicho tulichonacho (unakipenda au hukipendi.. a bird in the hand ...)

Asanteni sana shululu , lee empire BlessedHope kwa magazeti, UF na sala. Mnaifanya forum hii kuwa hai sana na mnatufanya member wa humu kuwa na afya njema (serious)

Shunie , sijui niandike nini ndo ujue kuwa nilikumiss sana humu, ulimisiwa na kila mmoja humu na tulilia na wewe msibani na baadaye tukasema haya ni maisha na yaendelee. Karibu sana, hakuna jipya ni yale yale labda upande wangu tu kuna mabadiliko kidogo, si sana

BH yupo na bado ninaridhika na asante, mkongo kaibiwa simu so maua yatanyauka tun, na shedede katuzuga na hadithi fupi isiyo na mwisho, tunaisubiri. Hey, karibu.

Tuwe na wakati mzuri Makapuku wote
 
MHUBIRI 7

8.Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake,Na Mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi

Asante Baba kwa Upendo wako mkuu hats kutuamsha salama tutunze,tulinde,tupe Leo njema

Roho Mtakatifu tuongoze katika kunena na kutenda ili tuwe baraka kwa wengine.
Tupe uvumilivu na Upendo kwa wenzetu.

Tunaomba na kushukuru Amen

SIKU NJEMA MBARIKIWE
Ameen mama mchuchu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom