Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Me too madame Husna.

Me too madame Husna.

Green Pup ya kunduchi auYaaan eti mfano tukutane pale green pub ...ukitoka filling station nikuone kama mhudumu ...
Is it coming coming

nilifiwa na mjomba angu na babu yangu cuzoo siku mojaUlifiwa na nani cuzoo![]()
![]()
Sasa mfano mtu ana dem mbaya anasifia nunduz aka chura ...upuuzii kabisaaaujue kila mtu na anachokipenda unachokipenda ww mwenzio wala hata hakipendi kwahyo kila mtu na chaguo lake
Naomba rambirambi kwanzaUlifiwa na nani cuzoo![]()
![]()
Niachieniii rafiki zanguMh kwa nini hutaki kuwapa salaam zao
hahahah na ungeijua jina la ile bar ningekoma aisee bora ujue hivyo hivyoYaaan eti mfano tukutane pale green pub ...ukitoka filling station nikuone kama mhudumu ...
Is it coming coming
Ya tabata dampoGreen Pup ya kunduchi au![]()
![]()
Hapo sasa.Kirat....![]()
Duh poleee wapi hukooonilifiwa na mjomba angu na babu yangu cuzoo siku moja
Sio cuzoo hiyo ipo sinza sasa jina lake halijui anaiita hivyo sababu ina rangi nyingi ya ugreenGreen Pup ya kunduchi au![]()
![]()
hahahah na ungeijua jina la ile bar ningekoma aisee bora ujue hivyo hivyo
Usijali nakutumia niliadimika huku karibu wikiNaomba rambirambi kwanza
Mmh chura inaitwa nundu sasa hiviSasa mfano mtu ana dem mbaya anasifia nunduz aka chura ...upuuzii kabisaaa

Bahati mbaya nilioneshwa kwa mbaliiiSio cuzoo hiyo ipo sinza sasa jina lake halijui anaiita hivyo sababu ina rangi nyingi ya ugreen
Rafiki kipenz Mbona unamkosesha shem.... Amerudi msibani ebu m-console kidogo.Ndo unachokitakaaa
Huhuhuhuh kumbe ziko nyingieeeYa tabata dampo
me nawapendaNiachieniii rafiki zangu
Harmorapa kasema hivoMmh chura inaitwa nundu sasa hivi![]()
![]()