Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nisalimie hao viumbe
Nisalimie hao viumbe
Ata sielewiii kipenz rafikiiRafiki kipenz hebu... Hii term "upuuzi wa Lee" ina maana gani?
Mwenyezi mungu kamkamata Shunie. Apumzike kwa Amani.Aisee inasikitisha sana mara ya mwisho nilimuona kwenye tv anaongea kuhusu kupeleka michango akasema aone wa kumkamata
Shemela anafikisha taarifa kama zilivo hataki konakona![]()
![]()
![]()
kwahiyo ulimwambia unaosha vyombo au
hahhahah hajui hilo mke mwee![]()
![]()
uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu shemela
Bado una wasi wasi na mm Rafiki kipenz?Rqfiki kipenz
SitakiiiNisalimie hao viumbe
Me too madame Husna.Mpogo?! Miss you all wapendwa kapukus
Wakafiee huko ...au ndo ile una mtu wako unashindwa kutembea nae njian mnapanda daladala tofauti mkisingizia eti ajar isije kutokea tuko wotee...
Wee sura wallpaper kwanza mnato
mbavu zangu mimi au ile mkiwa mnatembea wote mmoja anatangulia mbele kabisaaWakafiee huko ...au ndo ile una mtu wako unashindwa kutembea nae njian mnapanda daladala tofauti mkisingizia eti ajar isije kutokea tuko wotee...
Wee sura wallpaper kwanza mnato
shedede ameshakuelewa Fanya yako sasa muache apumue
Uwasiwasiiii upoooBado una wasi wasi na mm Rafiki kipenz?
ujue kila mtu na anachokipenda unachokipenda ww mwenzio wala hata hakipendi kwahyo kila mtu na chaguo lakeWewe mnaongopeanaaa
AmeenMwenyezi mungu kamkamata Shunie. Apumzike kwa Amani.

Ulifiwa na nani cuzooUjue nina kama week sipo cuzoo ndio nimerudi leo nilifiwa ebu ngoja tumsubili

Yaaan eti mfano tukutane pale green pub ...ukitoka filling station nikuone kama mhudumu ...![]()
![]()
mbavu zangu mimi au ile mkiwa mnatembea wote mmoja anatangulia mbele kabisaa
Mh kwa nini hutaki kuwapa salaam zaoSitakiii
anamtafuta naniUwasiwasiiii upooo
Make nasikiaga mtafutajii hachokiii