Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
haahhaUnauliza kombati jeshini
haahhaUnauliza kombati jeshini
AiseeHuh huu nisamehe bwana shemejii
Obe, makingilima na mahungulima tofauti yake ni niniHeshima kwako mdau, siku zinakimbia sana.
Niliona mchango wako kwenye maswali ya lee empire , ulijibu ukiwa very objective sana katika hli ambayo hukutaka kuja na jibu la JPM anastahili au hastahili halafu wengine waanze kukulabel kuwa uko upande usio wao.
Ulinikumbusha enzi hizo nasoma sana makala za jenerali Ulimwengu enzi za Rai halisi.
Pilika pilika zinabana na ndo maana unaona kuingia ni usiku sana au makingilima (asubuhi sana😀), nchi imevaa jeans kwa hiyo ni mwendo wa kujipanga kweli kweli.
Siasa ni maisha, huwezi kuikwepa, utaikuta kila mahali hata faraghani, utaikuta. Nitakuwa nashirikishiriki inapotokea.
Asubuhi njema.
Ulisema unataka kuwa mtawa, ndio maana linamo alikimbiakwahiyo ulijua mm mtawa cuzoo
Pamoja sana LeeWakuu tukutane baadae
Tukasakee tonge
Kwa mfanomwingine anatokea wapi
AmenMHUBIRI 7
8.Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake,Na Mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi
Asante Baba kwa Upendo wako mkuu hats kutuamsha salama tutunze,tulinde,tupe Leo njema
Roho Mtakatifu tuongoze katika kunena na kutenda ili tuwe baraka kwa wengine.
Tupe uvumilivu na Upendo kwa wenzetu.
Tunaomba na kushukuru Amen
SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
Habari za asubuhi makapuku wenzangu! Kumekucha na kama kawaida tunachofanya ndicho tulichonacho (unakipenda au hukipendi.. a bird in the hand ...)
Asanteni sana shululu , lee empire BlessedHope kwa magazeti, UF na sala. Mnaifanya forum hii kuwa hai sana na mnatufanya member wa humu kuwa na afya njema (serious)
Shunie , sijui niandike nini ndo ujue kuwa nilikumiss sana humu, ulimisiwa na kila mmoja humu na tulilia na wewe msibani na baadaye tukasema haya ni maisha na yaendelee. Karibu sana, hakuna jipya ni yale yale labda upande wangu tu kuna mabadiliko kidogo, si sana
BH yupo na bado ninaridhika na asante, mkongo kaibiwa simu so maua yatanyauka tun, na shedede katuzuga na hadithi fupi isiyo na mwisho, tunaisubiri. Hey, karibu.
Tuwe na wakati mzuri Makapuku wote

Obe, makingilima na mahungulima tofauti yake ni nini

mm huyo shemelaUlisema unataka kuwa mtawa, ndio maana linamo alikimbia

ndio hapo sasa shemelaKwa mfano
Binamu binamuBinamu niliwamiss pia na asanteni kwa kuwa nami kwenye kipindi hiki kigumu mbarikiwe sana![]()
![]()
binamu mukongo kapoteza simu sasa hapo ndio pa kuchangamkia fursa binamu yangu flowers zirudi kwako ila usijal binamu yangu nimerudi kila kitu kitakaa sawa

Hajamuulizia aiseeahha hivi yupo cuzoo kamuulizia
Aisee, na sweetiepie jemukongo nasikia kaibiwa simu binamu kaniambia tumchangieni akanunue ata tekno
Pamoja afande shededeShukran mkuu
Speed imemchanganyambona umejiquote mwenyewe mkuu
Niko mzima wa afya, vip pande hizoMzimaaa![]()