Ibrahim Msuya
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 572
- 1,264
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Anamzidi husna ??

Mungu amlaze mahali pema peponi [emoji120] ameen
Karibu tena Shunie..Morning all
Niliimiss sana hii familia, asanteni sana sana kwa pole na salaam mbarikiwe sana [emoji120]
inauma sana katika familia kupoteza watu wawili muhimu ndani ya siku moja hatuwezi kumkufuru Mungu yeye ndio anajua kwa nini imekua hivyo Mungu baba muweza wa yote [emoji120]
Lee wangu nakushukuru sana kwa kuwa na mimi bega kwa bega katika kipindi hiki kigumu
Mungu azidi kukubariki na Mungu azidi kuniwekea [emoji120]
Nilikumiss sana kivuruge wangu [emoji8]
Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama na kurudi salama kutoka Tanga kuzika [emoji120]
Mbarikiwe sana muwe na siku iliyo njema [emoji120]
Morning all

Ndio kadanjaaaJesus [emoji134] [emoji134] huyu Mzee Ndesa Pesa amefariki kweli nilikua mbali na ulimwengu
R.i.p Ndesa mburo
asante shemela kwa magazetiMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Chaplin
Nawatakieni wote siku njema na Mungu awabariki
Pamoja sana mtoto wa MaoAsante mkuu kwa headlines
Pole sana shemelaMorning all
Niliimiss sana hii familia, asanteni sana sana kwa pole na salaam mbarikiwe sana [emoji120]
inauma sana katika familia kupoteza watu wawili muhimu ndani ya siku moja hatuwezi kumkufuru Mungu yeye ndio anajua kwa nini imekua hivyo Mungu baba muweza wa yote [emoji120]
Lee wangu nakushukuru sana kwa kuwa na mimi bega kwa bega katika kipindi hiki kigumu
Mungu azidi kukubariki na Mungu azidi kuniwekea [emoji120]
Nilikumiss sana kivuruge wangu [emoji8]
Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama na kurudi salama kutoka Tanga kuzika [emoji120]
Mbarikiwe sana muwe na siku iliyo njema [emoji120]
Pamojaa mme mweeeePamoja sana mtoto wa Mao
Nimekupata vizuri mtoto wa MaoAsante mkuu ...
Kazi unaifanyaa haswa ila nyongeza kidogo waga yanakuwa powa yakipangwa mfano kuanza na headlines za kawaida ...fuatisha michezo na mwishowe udaku
Asante kwa kuyapitia shemelaasante shemela kwa magazeti
[emoji2] [emoji2] acha uchocheziAnamzidi husna ??
Pamojaa sanaaNimekupata vizuri mtoto wa Mao
Nimeulizaa[emoji2] [emoji2] acha uchochezi
Asante sana T na asanteni kwa kuniombea [emoji120]Karibu tena Shunie..
Pole sana!
We prayed for you..Hope you are okey now.
[emoji2] [emoji2] niliwaona mke mwee alikua busy na kuosha vyombo![]()
Welcome back my shunie kama ni kukumis nimekumis haswa ila muhimu umerudi salama na wanafamilia yetu walikuwa wanakuombea sana
N.B..mke mwee wako alidai alisaidia kuosha vyombo ...hakutoa rambirambi
Na bhinamu yako Obe naye alisaidia kuchimba kaburi ...
Aisee inasikitisha sana mara ya mwisho nilimuona kwenye tv anaongea kuhusu kupeleka michango akasema aone wa kumkamataNdio kadanjaaa
Asante sana shemelaPole sana shemela
Karibu tena ukapukuni