Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU YA LEO.

Because i grew up playing for Roma and i want to die playing for roma, because i have always been a Roma's fan


Kwa kuwa nimekuwa nikiwa naichezea Roma , nataka nife nikiichezea Roma kwa kuwa mimi nimekuwa shabiki Roma.


Maneno yalipatwa kusemwa na Francesco Totti mshambuaji wa time ya As Roma na taifa la Italia.

Totti anashikilia rekodi ya kuwa Captain mdogo katika ligi ya Serie A

Amekuwa mfungaji mwenye umri mkubwa kwenye ligi ya mabingwa ulaya.

Anashikilia rekodi ya ufungaji wa penati nyingi Serie A.
3c5fadcf2201c5050dc7d6de88a9c3be.jpg
21799475aca541901f5de5a1537614cb.jpg
af352a8130c178623305bc66836f4584.jpg


Muendelezo tuu wakuu..

Muwe na asubuhi njema.
Asantee mkuu
 
Morning all
Niliimiss sana hii familia, asanteni sana sana kwa pole na salaam mbarikiwe sana [emoji120]

inauma sana katika familia kupoteza watu wawili muhimu ndani ya siku moja hatuwezi kumkufuru Mungu yeye ndio anajua kwa nini imekua hivyo Mungu baba muweza wa yote [emoji120]

Lee wangu nakushukuru sana kwa kuwa na mimi bega kwa bega katika kipindi hiki kigumu
Mungu azidi kukubariki na Mungu azidi kuniwekea [emoji120]
Nilikumiss sana kivuruge wangu [emoji8]

Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama na kurudi salama kutoka Tanga kuzika [emoji120]

Mbarikiwe sana muwe na siku iliyo njema [emoji120]
Jaman mke mweeee pole kwa kuondokewa na wapendwa,njia ni yetu sote hyo Mungu akupeni nguvu na amani ya moyo
 
8f1e8c06a1baaba62c5da5064678eb60.jpg


Welcome back my shunie kama ni kukumis nimekumis haswa ila muhimu umerudi salama na wanafamilia yetu walikuwa wanakuombea sana

N.B..mke mwee wako alidai alisaidia kuosha vyombo ...hakutoa rambirambi

Na bhinamu yako Obe naye alisaidia kuchimba kaburi ...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] uchochezi shemela
 
[emoji2] [emoji2] niliwaona mke mwee alikua busy na kuosha vyombo
binamu obe na marasta yake nilimuona alivyokua anahangaika na makaburi [emoji2]

Unaendeleaje lakini hope upo poa, halaf baby mwambie mke mwee na shemela nina kesi nao kwa nini walikucheka ulivyomwita Tumosa mke mwee [emoji2]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23]
 
Back
Top Bottom