Makapuku Forum

Makapuku Forum

399ddb32716182c1647943858ecf9b9f.jpg
stress zikizidi utayafanya haya tu
 
Wakuu leo kuna mkanganyiko mkubwa wa data
Navyosonga mbele nakuta na kujiua pia kunahesabiwa
Sehemu nyingine kujua pekee
Hivyo naishia hapa maana siwezi kuandika kitu kisichojitosheleza au kilicho tofauti na utangulizi

Hivyo tukutane kesho
************************
Ni tatizo tu lililojitokeza hivyo litanikomaza na kunifanya nizidishe umaskini siku nyingine

Samahani kwa usumbufu na post nilizopost nadelete maana siku zote huwa naandika kitu kisicho na shaka au kupotosha
............
Aisee, haya maelezo ya kiungwana sana hata kama kuna mkanganyiko wa maneno
 
Aisee, haya maelezo ya kiungwana sana hata kama kuna mkanganyiko wa maneno
Ni kweli. Hasa ukizingatia kuwa hapa hatujuani personally. Uungwana huu unaonyesha kuwa he is a man of integrity and character, no matter what. Na hii inazidi kulipa heshima jukwaa hili.

==> Siku nyingi sijaona maoni yako kwenye mijadala ya kisiasa na mingine hapa. Jana wakati nikijibizana na mme wake na Shunie kuhusu ustahili wa rais wa sasa kutuongoza nilitamani kweli uingilie. Pengine ni pilika pilika kwa sababu hata topiki yako ya muziki kuna wakati huwa unaiahirisha. Tuko pamoja and good night!
 
Mkuu umeiona arafa yangu??
 
ISAYA 57

2.Yeye huingia katika amani,wao hustarehe katika vitanda vyao;kila mtu aendaye katika unyofu wake

Baba asante kwa ulinzi wako mchana kutwa,tunakimbilia ulinzi wako usiku huu,tuokoe kila wakati tuingiapo hatarini tuepushe na mitego yote ya shetani,usiku waleo ukatukumbatie kama kuku anavyokumbatia vifaranga wake,malaika walinzi waweke kituo katika kila kitanda cha kila mmoja wetu.kaa nasi Baba.Navunja nguvu zote za giza,magonjwa,dhiki shida mbalimbali,natamka uponyaji,amani,furaha,ushindi nakemea kila uovu wa shetani unaotunyemelea,nakemea wachawi,walozi pepo wachafu washindwe usiku wa leo.
Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Kristo.
Amen

MLALE SALAMA DAMU YA YESU IWAFUNIKE
 
Mkuu umeiona arafa yangu??
Nimeiona ndugu yangu na mtani wa Kikinga. Asante sana. Una moyo mzuri kwa sababu mtu mwingine asingeweza kuwa wazi namna hiyo. Kuna kijana wangu alikosa mkopo wa chuo na ana juhudi kweli. Nitamuuliza afanye upembuzi yakinifu kuhusu soko halafu nitakutonya. Nakushukuru MNO !!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom