Makapuku Forum

Makapuku Forum

MHUBIRI 7

8.Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake,Na Mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi

Asante Baba kwa Upendo wako mkuu hats kutuamsha salama tutunze,tulinde,tupe Leo njema

Roho Mtakatifu tuongoze katika kunena na kutenda ili tuwe baraka kwa wengine.
Tupe uvumilivu na Upendo kwa wenzetu.

Tunaomba na kushukuru Amen

SIKU NJEMA MBARIKIWE
Asante kwa neno
 
Habari za asubuhi makapuku wenzangu! Kumekucha na kama kawaida tunachofanya ndicho tulichonacho (unakipenda au hukipendi.. a bird in the hand ...)

Asanteni sana shululu , lee empire BlessedHope kwa magazeti, UF na sala. Mnaifanya forum hii kuwa hai sana na mnatufanya member wa humu kuwa na afya njema (serious)

Shunie , sijui niandike nini ndo ujue kuwa nilikumiss sana humu, ulimisiwa na kila mmoja humu na tulilia na wewe msibani na baadaye tukasema haya ni maisha na yaendelee. Karibu sana, hakuna jipya ni yale yale labda upande wangu tu kuna mabadiliko kidogo, si sana

BH yupo na bado ninaridhika na asante, mkongo kaibiwa simu so maua yatanyauka tun, na shedede katuzuga na hadithi fupi isiyo na mwisho, tunaisubiri. Hey, karibu.

Tuwe na wakati mzuri Makapuku wote
Binamu niliwamiss pia na asanteni kwa kuwa nami kwenye kipindi hiki kigumu mbarikiwe sana


binamu mukongo kapoteza simu sasa hapo ndio pa kuchangamkia fursa binamu yangu flowers zirudi kwako ila usijal binamu yangu nimerudi kila kitu kitakaa sawa
 
Kwanza kabisa Shumie pole kwa msiba
Najua upo kwenye kipindi kigumu ila utavuka tu
Ndiyo maisha yalivyo
Nimefurahi kuona umerejea

Pili nawapongrza ambazo wameshashusha segment zao
Now tusubiri Dikteta
Niwatakie asubuhi njema wadau wote
........
 
Kirat....
65ca1200790a17cc0f4c8d8aaa5c4879.jpg
Kipanya kaua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom