Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

Graduates wake ni wa mashaka kidogo! Nimewafanyia usaili wengu tu! Sisemi kwa kuwabeza. Wajiongeze. Ukweli ni kuwa wale wa E& D.. zile D mbili.... Pricipal ndio wanakwenda UDOM hakuna wa A &B anakwenda pale! John nadanganya?


Acha kukariri amesoma mwenye AAA+ na akawa best student na sasa hivi bado yuko vema
 
Mafanikio yapi ?

Huyu si ndiyo aliwaita Vijana wa UDOM vilaza,
Leo chuo cha Vilaza kinamtunuku Shahada ya heshima.
 
Anapewa sifa za bure mpaka mwenyewe anaona aibu, sasa lazima anaona haya kwa aliyo mfanyia Ben Sanane, kama na ile alipewa kwa HESHIMA angesema tu kuliko kumpoteza mtoto wa watu.
 
Aliepewa amepokea kwa aibu, vya bure havifai mapopo mnampongeza, acheni kufurahia hongo.
 
Congratulation Mhe. rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Udom medicine mwaka jana wa masomo mwenye 1.8 CBC walokosa nafasi!
Fanya tafiti yako vyema mkuu
Nkamia ni empty headed! PhD ya kijinga. ndiyo maana hivi vyuo vinakosa heshima. John, mimi ni academician, nimesoma UDSM 1981, kikiwa bad chuo maarufu. Hivyo siyo nabeza watu, najua ninachokiongea!
 
2019 Imeisha

-Soko la Korosho limeharibiwa

-Ajira Sekta rasmi na sekta binafsi zimeshuka

-Hali ngumu ya Maisha Maradufu

-Uchaguzi Serikali za Mitaa Umeharibiwa

-Kuna Hatari kutokea Janga la Njaa Kanda ya Kati

-Katiba Inavunjwa na kubakwa Mchana wa Jua Kali

Hiyo ndiyo 2019
 
Jamani mbowe naye akumbukwe. Huko moshi hakuna vyuo hata vya veta tumtunuku huyu jamaaa.
 
CCM Inavofanya Maisha haya kuwa Magumu Kuna kipindi mtu unakosa hela mpaka unajihisi labda Ulisomea BACHELOR OF POVERTY AND APPLIED SUFFERING.

Basi haya maisha acha tu na Ukijinyonga Police wanakuja kushuhudia na ku-confim..
Kulindika vyeti ni kujiletea umasikini
 
Udom medicine mwaka jana wa masomo mwenye 1.8 CBC walokosa nafasi!
Fanya tafiti yako vyema mkuu
It might be, sikatai. Mwaka jana mitihani likuwa sub standard! A zilikuwa nyingi sana kwenye PCB. Kwa mara ya kwanza, PBC ilikuwa rahisi kuzidi PCM!
 
Ilitakiwa ahongwe ndipo aombwe hela.hiyo PhD ndoyakweli ila ile nyingine alibumba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…