Hahahaa,wanapembua nini? Mataruma?Bado tupo kwenye mchakato na upembuzi yakinifu
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.
Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.
Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.
Mpaka sasa kafanya haya;
Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------
Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;
Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba
Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.
Kamata kamata hujaiona?VIWANDA VIPYA VINAJEGWA VYA ZAMANI VINAFUFULIWA, WATU WANALIPA KODI, MAHOSTEL UDSM KILIKUWA KILIO CHA SIKU NYINGI,KODI ZA AJAB AJAB ZIMETOLEWA ESPECIALLY KWA WAKULIMA KAMA ILE YA KWATO, FLYOVERS ZINAJEGWA, BEI YA KOROSHO, PAMBA, KAHAWA JUU ,MADAWATI NCHI NZIMA, MADUKA YA MSD KATIKA KILA MKOA,
KAJAMAA KANAPIGA KAZI KINYAMA NA HII NI KWA MUDA MFUPI TU
WANASTAHILIKamata kamata hujaiona?
Unaweza kutuorodheshea hapa la maana mlilofanyaNimeamini maneno ya mkapa ni ya kweli kabisa. Kama hauoni kilichofanyika mpaka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
AIBU YAKO...unakaa Mkoa gani? AVTAR yako inajieleza...ni wale wale wa kuleee....Kitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu
Hapo nawapa asilimia 50 kwa kuwatumia police tunaowalipa kwa kodi zetu
Lakini kiuhalisia hakuna ahadi hata moja iliyofanywa au kutimizwa na ccm
Tanzania ni ile ile aliotuachia jakaya kikwete
Haijapiga hatua yoyote
Jibu hoja acha ukabila kama msukuma sizonjeAIBU YAKO...unakaa Mkoa gani? AVTAR yako inajieleza...ni wale wale wa kuleee....
Hivi ni kweli huoni kilichofanya au unazuga, kwani mtoto wako analipa ada? Hivi ile Barbara ya malinyi had I Namtumbo huisikii? Bado hizo mindege huion?Tuwekee ilani ya ccm na utekelezaji wake