Hivi huwezi kutoa comments zako kistaarabu hadi utukane?
 
Si kweli, ni ushamba tu wa huyu Jamaa /Meko ndio tumeanza kusikia maendeleo ya madaraja.
Kikwete, Mwinyi, Mkapa na Nyerere hawakuwahi kuzungumzia na hata kuhangaika kuzindua vichochoro kama huyu jamaa afanyavyo, walijua ni vitu vya kawaida ila mfano Mzee baba mkapa alikuwa anakuja na takwimu za ajira mpya, uwekezaji mkubwa na mambo kama hayo, huyu phd holder ana mambo ya kishamba sana, yaani hotuba yake unaweza predict fro begining to the end, labda utakosea tu kwenye kutumbua na kudhalilisha wanawake, maana lazma achomekee yaliyomjaa moyoni, utaskia kama chakula kipo zalianeni tu , mimi nitawasomeshea bure ila hasemi ajira atawapatiaje.
 
UPUMBAVU WAKO USIDHANI WATZ WOTE NI WAPUMBAVU KAMA WEWE HIVI BABA YAKO ALIVYOJENGA ILE NYUMBA MPYA PALE MSASANI NA MKATOKA MANZESE KWA MFUGA MBWA YALIKUWA MAENDELEO AU SIYO MAENDELEO ? NA ULIVYONUNUA PIKIPIKI UKAACHANA NA BAISKELI ULIYOKUWA UKIITUMIA YALIKUWA NI MAENDELEO AU SIYO MAENDELEO KAMA HUJUI MAANA YA MAENDELEO NI BORA KUKAA KIMYA KULIKO KUPOSTI UPUMBAVU WAKO HUMU
 
Tushawazoea nyie ,walalamikaji kwa kila kitu.enzi za jakaya madaktari si walifikia hatua ya kugoma,akatekwa yule jamaa ulimboka ,umewai skia mgomo wa madaktar awamu hii? Hakuna! Which means wako vzr.issue ya unemployment ni dunia nzima haitokaa itokee siku kukawa na full employment.
 
Hapa tunaongelea priorities, kwani kwa hii miaka minne hao madaktari wao wamepata nyongeza za mishahara, kwa hiyo kwa sababu hawajagoma you think they are so satisfied!
 
Hapa tunaongelea priorities, kwani kwa hii miaka minne hao madaktari wao wamepata nyongeza za mishahara, kwa hiyo kwa sababu hawajagoma you think they are so satisfied!
Kama hawajaridhika unataka waulizwe mmoja mmoja kama wameridhika, hata hivyo toka lini mtu akaridhika na fedha anayoipata vitu vingine tujifunze kuanzia nyumbani tulipo ndipo tuje huku jamvini
 
Lumumba mnatia aibu sana! Yeye kazungumzia suala la unafuu wewe unaleta habari za huduma bora za afya!! Na ukifuatilia mjadala unahusu gharama za juu za Afya ndani ya US!

All in all, utakuwa unachekesha kama unadhani huyo jamaa alienda Mwananyamala Hospital!
 
Ratio ya madaktari kwa wananchi ukanda huu Tz ndio inaongoza kutoka nyuma, yaani hata Burundi wamewapiku. Au ulimaanisha huduma ya afya kutoka kwa Babu wa Loliondo?
 
Kwenye ubora wa huduma za afya Tanzania Africa masharikia na kati hatuna mpinzani hata majirani wengi huwa wanakuja kutibiwa huku ingawa tunatakiwa kuongea idadi ya maktari na sasa hivi huduma za kibingwa wanataka kushusha mpaka hospitali za mikoa na wilaya
 
Alienda hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 


Just like that
Huyu kaguswa na serikali ya awamu ya 5 chini ya JPM, huduma za afya Tanzania ni classic.
We kenge unajua watanzania wangapi wanaweza kuilipa hio $86?

Na hao wazungu ni viazi pia.

Wanajua sana urahisi wa kuipata hio $86 ukiwa hapa a dsm na ukiwa US
 
That was during the doctor's strike.

Alafu usijipige kifua! Watanzania hawajawai tupea mihogo
So we have many doctors at work and standby reserve in case some corrupted jungle like Kenya is in crisis, they are free to act.

Sina time ya wresting with you about our contributions to your bellies because it's a wastage of time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…