Sijui haya yameandikwa, maana sijapitia yote, lakini nitayaandika tu:

  • Katishia wakurugenzi aliowaajiri, kama watamtangaza mpinzani kashinda ktk chaguzi atawafukuza kazi.
  • Kaleta nidhamu ya uoga makazini
  • Kafunga mtanzania miezi 6 eti kwa kusema tu "Rais Magufuli ni kitu gani bwana".
  • Kashindwa kumshughulikia Makonda na vyeti vyake FEKI.
  • Kashindwa kutoa ajira kwa vijana waliomaliza vyuo na kuwatosa mitaani.
  • Kashindwa kutoa maelezo 1.5 trilion zimetumikaje.
 
Uyu JPM ni mtu wa aina yake lakn jamaa ana penda cfa na nimbinafs kam muaya uyu jamaa..bas tu sem ndo rais ila mungu anamuona
 



Kwa kweli Rais wetu kafanya makubwa sanaa..
Kila upitapo sasa hivi ni ujenzi unaendelea...Dar es Salaam kila kona Barabara ya Tandale-Sinza- Mawasiliano inajengwa
Madaraja yanajengwa

Upanuzi wa barabara kuu ya Ubungo hadi chalinze unafanywa

Daraja Kilombero miaka yote wapigaji walikuwa wanakula hela za wananchi kuwavusha ila sasa limejengwa

Flyovers zinajengwa

Miradi ya umeme inajengwa na miradi mingi ni kwa hela za watanzania wenyewe

Miaka yote maeneo ya Mbezi na kimara walikuwa hawapati maji japo yanapita njia hiyo hiyo lakini sasa maji yamefika mbezi, na bado wanaendelea kutandaza mabomba ili kupeleka maji. Awali waliokuwa wanakula hela za wananchi ni wenye miradi ya kuuza maji kwa magari. Ila sasa wananchi wamekombolewa.

Utendaji kazi umeimarika, sasa hivi kila mmoja anaona cheo akipewa ni kama kakalia kaa la moto..Yale mambo ya kupiga hela na kukaa ofisini kupiga usingizi yameisha watu ni kazi la sivyo unawajibishwa.

Madawa sasa yanapatikana hospitali, ile hali ya madawa ya hospitali yanapelekwa katika Pharmas binafsi imeisha.

Hospitali sasa za serikali ukienda mgonjwa anajaliwa sio kama ilivyokuwa awali.

Taasisi za serikali wafanyakazi wamekuwa wanawajibika ....hakika nidhamu imeimarika.
Kwa sasa taasisi za serikali zinajiendesha kibiasara bali si kihasara kama ilivyokuwa awali, ilikuwa ni ulaji tuu wa hela, upigaji dili, taasisi zinakufa, hakuna gawio kwa serikali, ila sasa zinatoa gawio...Hakika kila kitu ni usimamizi imara, ukicheka na kima utavuna mabua.

Awali watu walikuwa wanaulilia uongozi, hata wasio kuwa na elimu walikuwa wanagombea kupata uongozi, sasa uongozi umekuwa mgumu sababu kama wewe si muwajibikaji una ndoto za kupiga tuu, hupati nafasi, Uongozi umekuwa una hadhi kwa sasa.

Hakika Namsifu Rais wetu...
 
Na bado mtazidi kumpenda Sana
 
Hajasema atamaliza rushwa, ilia anapambana na wala rushwa! Na huo woga unausema hata hiyo tabia mbaya ambayo watu walikuwanayo ilianza taratibu tena kwa woga hadi watu wakaona ndiyo utaratibu halisi na wakazoea.
rushwa hajakomesha na hatoweza!kuhusu nidhamu makazini ni kweli tuna nidhamu ya UOGA!
 
 
Kumbukumbu zangu zinanikumbusha kuwa siku ya ufunguzi wa mradi wa ujenzi wa "interchange roads" palw Ubungo ulio udhuriwa na rais wa Worls Bank, Mh Rais aliagiza wajenzi wafanye kazi mchana na usiku ili wawahi kumaliza mradi mapema.

Naona hili agizo wajenzi wameliweka kando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…